Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu jobless Huwa hatuchagui kazi sisi tukiqualify tu tunaomba issue za location hizo ni mambo za baadaye
Ama hujui unahokifanya, ama bado una utoto fulani hivi. Uniwie radhi kwa mtazamo huu.

Mtu mwenye machaguo kama wewe huwa anaweka mipaka mikali sana, kazi zinazoonekana za hivi hivi hawaombi, wanasubiri zile za taasisi zinazosifika kwa unono.
 
Ama hujui unahokifanya, ama bado una utoto fulani hivi. Uniwie radhi kwa mtazamo huu.

Mtu mwenye machaguo kama wewe huwa anaweka mipaka mikali sana, kazi zinazoonekana za hivi hivi hawaombi, wanasubiri zile za taasisi zinazosifika kwa unono.
Hapana kaka hujanikosea chochote it's your opinion boss.Though sidhani kama kuna mtu asiye na kazi na anayethink rationally akaona bora akae bila kazi kuliko kuomba kazi kwenye taasisi ambazo zinalipa vizuri, akisubiri mpaka taasisi zinazolipa vizuri zaidi zitangaze ndo aombe kazi tena kazi ambazo Hana uhakika kama atapata.

Just imagine mtu ni jobless sasa hivi halafu hataki kuomba kazi anasubiria za TANESCO,TRA, TANAPA, TBS, WCF, EWURA, NGORO NGORO na TCRA na hajui hizo kazi zitatangazwa tena lini, so anakaa nyumbani tu anasotea benchi akisubiri tangazo la kazi na huku akizipotezea nyingine, I find it so ridiculous, Mara nyingi wanaofanya hivyo ni watu ambao tayari wapo ofisini and unfortunate sipo ofisini. Ila nmekuelewa fresh boss wangu.
 
Kaka sio mm ii account ni ya tereh 10 dec kama ulivo sema, last seen ya wizy ni tarehe 11 dec kama angetaka ku change ID ange badilishaa baada ya tareh 11 au tareh 11 hio2.
Hata mimi ninaamini Wizy ni wewe , katibu mkuu mstaafu wa jukwaa la majobless Jf ,naona umeamua kula asali kimya kimya .Hata jinsi unavyo construct maongezi kwa maandishi humu haina tofauti na Wizy ,jamani ni yeyeeee
 
Ohy.. hayo mambo ya Wizy hamjayaacha tu..? Postini mikeka ya placements hapa.. kama ni yeye na hataki kuji-expose kuna shida gani bhana.. Kila mtu abaki na anachokiamini..
Walikuwa wengi humu founders wa huu Uzi kama @lermax, Shombe la kisomali, kyagata na wengine wengi..hao wote now hawapo humu Ila mbona hamuwazungumziii..?
 
Mi naona una tamaa za huku na kule ukishapata kazi serikalini na ukapewa cheki number kapige kwanza kazi mzee

Huku serikali Kuna ukishaseto unaweza kupiga hizo interview sehemu za ulaji au ukahimia kwa njia ya kawaida

Imaoneka Kila jicho linaangalia upande wake Moja TPDC Na lengins kule.

Usije jikuta ukakosa kazi na maamuzi ya kizembe.

Kapige hio kazi Kila salary vuta mamikopo nunua maviwanja mashamba wekeza kitaa Hela zitakuja tu in due time.

Shida Yako ni pesa kama ilivyo kwa wengine na Mimi hata kitaa pesa hizo unahitaji tu pakuanzia.
 
Utaniuzia hiyo biashara kama inauzika. I am serious
Labda nikuuzie ujuzi, kitu cha kuanza mwenyewe ni bora kuliko kununua kitu cha mtu ambacho tyar alishakianzisha, unaweza nunua leo baada ya mwezi inakufa. Lakini nkikuelezea njia, machimbo, mbinu za kutangaza, kutafuta wateja unaweza ata yako izidi ya kwangu
 
Hata mimi ninaamini Wizy ni wewe , katibu mkuu mstaafu wa jukwaa la majobless Jf ,naona umeamua kula asali kimya kimya .Hata jinsi unavyo construct maongezi kwa maandishi humu haina tofauti na Wizy ,jamani ni yeyeeee
Na kamwe sifanyi uo ujinga wa kuwaaminisha tena mm sio yeye, coz ntatumia nguvu kubwa sana may b cku akirudi atanisaidia kwa hilo. Coz ni mtu mmoja tu alieamua kuaribu ID yangu wkingz na kuipeleka Wizy king, bila ya hii yote yasingetokea.
 
Shukrani mkuu, jf app ikikaa sawa nitaku inbox maana sasa hivi kila nikijaribu app inagoma
 
Kajisahau tena ,kaulizia status
Iii issue ni simple sana niliitaji kumjua mtu niliefananishwa nae. Nili comment makusudi tu. Nimepitia comment zake nyingi mpaka nikagundua kuwa issue ya status ni simple sana.
kwa research yangu status za web zinachange sana sidhani kama zina effect kwenye kutokea jina la mtu kwenye pdf isipokuwa only pale utapo andikiwa not shortlisted.
base na app coz inaonesha waliopata kazi 99% wana selected for null, coz sijaona case kwenye comment zake wizy mtu kawa not selected for null kapata kazi, pia ukiwa selected for null manake na hisi umefanya oral fresh sio gurantee ya ww kupata kazi. So kikubwa after oral play upate kwenye app selected for null, the rest mwachie mungu.
 
mkuu mbn uzi zipo kibao kwann umerudi humu tena kwa Kasi.... Usituchukuliie cc watoto wadogo..
Kukandwa n sehem ya maisha.
wewe ni WIZZY.

Amna humu ndan mweny mambo ya Status zaid yako.
Na tulishayapotezeea.
Status hazina uhusiano n Placement.
 
OP wa uzi huu yupo kwa ID nyingine, ID ya mwanzo imepigwa BAN, Kyagata yupo hajapotea.

Shombe la kisomali hajawahi kugisa huu uzi, nakumbuka yeye alibase sana kwenye ishu za kuomba vyuo na mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…