Sometimes inakuja notion kwamba PSRS wanaweza kuliondoa jina😂😂Kila mda unakua unalitafta jina lako kwa pdf
Mm pdf ya placement nlvoonaga jina langu ..nkadownload copy yake zkawa tatuSometimes inakuja notion kwamba PSRS wanaweza kuliondoa jina[emoji23][emoji23]
Huu ujobless huu hatari sana, stress haziishi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mm pdf ya placement nlvoonaga jina langu ..nkadownload copy yake zkawa tatu
Ilikuwa mwakagani huo Mkuu..?Mm pdf ya placement nlvoonaga jina langu ..nkadownload copy yake zkawa tatu
Gurudumu tu linasogezwa hapa Da ProxMmechat sana, kuna nini[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
SawasawaGurudumu tu linasogezwa hapa Da Prox
Ha ha ha, uzuri nadhani alisema mwanaume alikuwa yeye pekee yake. Hivyo ni rahisi kujua.
Nilianza harakati hizi za kuusaka mrija nikiwa nikichangia kwenye nyuzi za jukwaa hili na ID yangu hii, sifikirii mwisho wangu uje uwe hivyo.
Mara nyingi watu humu JF walikuwa wanajua kuwa mimi ni mlamba Asali isipokuwa wachache wanaonifahamu/tunaofahamiana nje na JF, kama ningetaka watu waendelee kufahamu hivyo nisingekuwa nashiriki kwenye hizi nyuzi kwa ID hii, ningefungua ID nyingine wasioifahamu watu.
Humu kwenye uzi huu, yupo anayenifahamu ingawa hajawahi kukutana na mimi.
Kwa hiyo nikipata hiyo nafasi NAOT nitaleta mrejesho humu, tutafurahia wote humu hatua hiyo muhimu ya kuungwa kwenye gridi ya Taifa ya walamba Asali, watakaoweza kunifahamu nina imani watakuwa wachache miongoni mwa wengi tuliomo JF.
Sema mimi naona bora hata mnaoitwa interview , kuna watu kozi zetu hata ajira portal hazipo. Hata field zetu za kazi hatuzielewi , inshort tupo wahanga tumesoma kozi ambazo hazieleweki na huwa tunawatamani hata nyie ambao mnatambulika na kuitwa kwenye interview
Mwambie wew labd huyo jamaa ataelwa nilichokua naongea naona kama hatujfnya pepa 1 na huyo mwamba au kfnya eneo tofauti
Kaka pamoja na yote namshukuru Mungu nimetoboa kuingia oral Mungu amekua upande wangu.Ni kweli kaka me pia nimepiga interview utumishi kama nane hivy ila sikuwahi kupata na kila nikiroka nakuaga nandika udhaifu nilioufanya kwenye notebook... last time nilifanya veta siku ya prac imagine microsoft access ilinipiga chenga kutengeneza database na relation zake
Kozi gan izo mkuu ambazo hazieleweki?Sema mimi naona bora hata mnaoitwa interview , kuna watu kozi zetu hata ajira portal hazipo. Hata field zetu za kazi hatuzielewi , inshort tupo wahanga tumesoma kozi ambazo hazieleweki na huwa tunawatamani hata nyie ambao mnatambulika na kuitwa kwenye interview
Hongera sana... Mungu azidi kuwa nawe katika mapambano ya oralKaka pamoja na yote namshukuru Mungu nimetoboa kuingia oral Mungu amekua upande wanngu.
Lilikuwa la taasisi ipi?Jamaa kuna tangazo la Nafasi za kazi lilitoka mwezi May mwaka 2022. ***** ni mpaka leo kimya
Kwenye uzi wa kimasihara sijawahi kuchangia kwa kutoa kisa kwani sina hicho kisa zaidi tu nilikuwa nachangia kufurahishwa na hivyo visa.Sawa Professor, naamini pia unajiamini kwa kuwa huwa unatoa michango isiyohitaji sana kujificha.
Maana kwa mtu aliyeshusha visa vya kutosha kwenye uzi wa rikiboy halafu siku majina yake halisi yakijulikana kupitia placements nadhani kidogo kuna ukakasi.
Kumbe ulikuwa bado unasubiri majibu na ule mrejesho!? nilidhani tayari majibu yashatoka na ukakandwa.Kaka pamoja na yote namshukuru Mungu nimetoboa kuingia oral Mungu amekua upande wangu.
Tumeitwa 59 tunapambania nafasi 26Kumbe ulikuwa bado unasubiri majibu na ule mrejesho!? nilidhani tayari majibu yashatoka na ukakandwa.
Hongera sana, green light ndio hiyo, imebaki juhudi za mwisho sasa kukamilisha mission.
Oral mumeitwa wangapi na mnapambania nafasi ngapi?
Mimi ni mdau mkubwa kule kwa kijana wetu wa hovyo rikiboy ingawa ni kama mpenzi msomaji. Although siku hizi hauna visa zaidi ya kua kijiwe cha kupiga soga.Kwenye uzi wa kimasihara sijawahi kuchangia kwa kutoa kisa kwani sina hicho kisa zaidi tu nilikuwa nachangia kufurahishwa na hivyo visa.
Nina muda mrefu sana sijatia mguu kwenye ule uzi pamoja na kuoona ukiwa unatrend mara kwa mara