Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwamba abadili jinsia?!( Joke)
Karibu kaka, yaan ata wewe ukitaka badilisha leo from Mwifwa dunia nzima ikujue kama Maryjuan unaruhusiwa, ili mradi uweke sababu tu ya kufanya hivyo sio unajibadilishia badilishia tu
 
Wizy ukitoka job uje utoe muongozo huku.

Ebu weka job descriptions zake, wizy akija aruke nazo kwa muongozo
 
Wewe jama una shida sana, watu wakiwa wanajadili kuhusu status na mabadiliko yake, huwa una-mind sana, huyo jamaa amekushangaa kuona ulivyokua kinyonga, awali, umepongeza MDA's kutoa mkeka, watu wapo bize kujiandaa, wapumzike kujadili status, punde wewe ndo umegeuka mtoa ushauri katika kujadili maswala ya status, ambayo wakiwa wanajadili wengine, una-mind.
 
Karibu kaka, yaan ata wewe ukitaka badilisha leo from Mwifwa dunia nzima ikujue kama Maryjuan unaruhusiwa, ili mradi uweke sababu tu ya kufanya hivyo sio unajibadilishia badilishia tu
Hahahaaa, hii shule ya Affidavity na deed poll imepenya kama mkando PSRS.

Siku nikidisplace my docx sitapata shida ya muongozo wa kuanzia
 
Sijawahi kumaind kwa ajili ya Status, INAWEZEKANA wapo woga wa status humu Ila sio Mimi kama una ushaidi wa unachokinena basi weka ushaidi wako humu sehemu niliyomaind. But kama mtu kataka muongozo au kaulizia Kuna shida gani hapo we DOGO wa Dar..?
Acha mihemko, Status ziko tu portal Wala sikuweka mm. Pia unaweza kupita kushoto kwenye Quote zangu sio lazima unishobokee maana inaonesha nakukera sana kama sinkukunyima amani humu.. unapita kushoto inakuwa coolest na Maisha yanaendele.
 
Hii inaonesha namna gani huwa unakereka na haya mambo "bro" wa kigoma.
Hata haimainishi kunikera Ila tu nilizungumzia.. mwenyewe napenda tu watu wanaoleta ushuhuda wa status maana inaniweka aware BUT kinachokera ni zile blaming za watu wengine wasiopenda kama WEWE ambazo zinaleta vurugu humu na mijadala isiyoisha..
Kama vipi leta hizo mambo za Status Kam nitakumaind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…