MDAs na LGAs ndio wamesababisha haya.Nadhani matokeo ya Usaili yakitoka angalau utulivu utakuwepo.Naona wakongwe wa huu uzi hawaelewi kinachoendelea
PSRS kumenuna hakuna call for interview,advert wala placementMDAs na LGAs ndio wamesababisha haya.Nadhani matokeo ya Usaili yakitoka angalau utulivu utakuwepo.
Leo naamini siku haiishi Bure mkuu..PSRS kumenuna hakuna call for interview,advert wala placement
AsanteTrade officer ii
1. Liquor law license restrictions
2.Advantages of Selling on Credit
3.Factor to consider before price of produce
4. Short Notes
Production
Utility
Trade
Opportunity cost
Nipo nachungulia sana mtanange wa Sugunyo hapa[emoji3][emoji3][emoji3]Naona wakongwe wa huu uzi hawaelewi kinachoendelea
Kaka wewe pressure imepungua, saiz unaperuz kibosNipo nachungulia sana mtanange wa Sugunyo hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani anaview huku anauhakika wa mrija.Kaka wewe pressure imepungua, saiz unaperuz kibos
Saaaaaafi kabisa mkuu.
Kifuatacho ni from PSRS...Watabiri tunawasubiriaSaaaaaafi kabisa mkuu.
Huu mrija wa asali uliupambania sana,
Naomba ukautendee haki.
Vipi umepata Assistant Lecturer au ile master haukuwahi kupiga?
Maana'ke nd'o mambo yako haya nakumbuka umekuwa ukiyajadili kwa kina sana.
YakunlePlacement....
Naona wameweka kaplacement kamchongo tu..
Naona wameweka kaplacement kamchongo tu..
Taasisi mbalimbali za ummaUlitaka placement iweje mkuu. Kuna ma hustler walikuwa wanaisubiri hyo.
Taasisi mbalimbali za umma
Bado safari ndefu mkuu, sasa tuko kwenye pressure ya kusubiria wayaKaka wewe pressure imepungua, saiz unaperuz kibos
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani anaview huku anauhakika wa mrija.