Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa zile post zenye kada nyingi, WAZOEFU MTUPE DETAILS tunasoma vitu gani,,,maana kuna post za agriculture officer II, KUNA watu wa (agriculture general, agronomy,agribusiness, na Applied extension from ministry of agriculture through NATIONAL IRRIGATION COMMISSION). Naombeni Madesa wakuu wa KAZI kabla sijaitwa kwaajiri ya MKANDO.
 
Hiyo ni ya kitambo sana kiasi kwamba ilikuwa bado kidogo nikuulize hao wametangaza lini maana ni field yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…