Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Hongera sana mkuu .Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Wacha waendelee kubisha hawa wataalam wa uhasibu.Hakuna tofauti sasa!
°Open university wako serious na kazi YaoHawa wamefanya tarehe 19 na 20 disemba lakini placement tayari na naimani wataanza kazi soon.
Chap chap, Hongera sana mkuu.Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Hongera sana kaka.Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Ahsante mkuu, wewe bado ee?Hongereni sana, Kuna taasisi ziko fasta Hadi raha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Mwisho wa Mwezi oyeeee
Ahsante mkuu, tuombe tusije tukafuata nyayo(kuyeyuka) za wizyHongera mkuu,
WIki ijayo unaanza kulamba za training.
Yeah bado hatujapigiwaAhsante mkuu, wewe bado ee?
Ahsante sana mkuu, wewe April tu hapo ikifika tutapongezana hapa.Hongera sana mkuu .
Msiache kutuombea nasisi tufike uko mlipo.
Namuomba Mungu na ikawe hivyoAhsante sana mkuu, wewe April tu hapo ikifika tutapongezana hapa.
Mungu ni mwema, tuwe na subira
Mkuu mbona nyie hamjachelewa.. si juzi tu mlienda kuripotiAhsante mkuu, tuombe tusije tukafuata nyayo(kuyeyuka) za wizy
Hahahaaa, nipo kwenye group la biashara huko Whatsapp, wanitoa udenda kila sekunde. Huu ndio mfano wa matangazo yake.Chap chap, Hongera sana mkuu.
Hope baada ya miezi sita hivi, utakuja hapa kutaka kujua dondoo mbili tatu kuhusu subaru/alteza.
Sawa mkuu, vuteni subiraYeah bado hatujapigiwa
Daaah[emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa, nipo kwenye group la biashara huko Whatsapp, wanitoa udenda kila sekunde. Huu ndio mfano wa matangazo yake.
NIPE WISH NEWMODEL NZURI MKUU IENDE ARUSHA ..... OFA IPO 15M ITOE HERA
lingine
Toyota Hilux Vigo
Year 2015
Cc 2494
Engine 2KD
Colour White
Dvd Radio[emoji736]
New Tyres BF [emoji736]
Price 42mil[emoji1666]
Call 0712934....
Uliomba mkuu?Hiyo ni ya kitambo sana kiasi kwamba ilikuwa bado kidogo nikuulize hao wametangaza lini maana ni field yangu.
Yeah, tulianza kupeleka barua tarehe 11/01/2023, wengine waliochelewa wamepeleka wiki hiiMkuu mbona nyie hamjachelewa.. si juzi tu mlienda kuripoti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Noma sana mkuuDaaah[emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka unaelekea huko huko hapo tayari, kikubwa tuombeane uzima na sote tufanikiwe tufike katika hii safari ya mrija wa asali/Keki ya Taifa letu pendwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Noma sana mkuu