Tunayasubiri kwa sanasanaMDAs na LGAs Matokeo mtoe jamani ,kama nimekandwa nikalime zangu.....
Kubali tu kuwa hilo swali umechemka,omba Mungu hayo mengine uliyoyafanya yakuendee vizuri uitwe oral mkuu.otherwise usilazimishie majibu yako ndio yawe ya kweli.na pia usitulishe matango pori mzeeWacha waendelee kubisha hawa wataalam wa uhasibu.
Hongera sana aseeSisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
ninavoyaogopa matokeo hayo acha tuMDAs na LGAs Matokeo mtoe jamani ,kama nimekandwa nikalime zangu.....
Nakutakia uwajibikaji mwema kiongozi.Sisi tayari tumevutiwa waya, J3 tupo mjengoni kunolewa kwa ajili ya kuanza kukimbizana na wanaoficha nyaraka za matumizi/manunuzi[emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema, subira na mapambano viendeleeKaka unaelekea huko huko hapo tayari, kikubwa tuombeane uzima na sote tufanikiwe tufike katika hii safari ya mrija wa asali/Keki ya Taifa letu pendwa.
Ahsante sana mkuuHongera sana asee
Ahsante sana mkuuNakutakia uwajibikaji mwema kiongozi.
Usikate tamaa, endelea kujifua kwa Oral, sidhani kama watawapa siku zaidi ya tatu kujiandaa kwa oral toka tarehe ya kupandisha matokeo.ninavoyaogopa matokeo hayo acha tu
Noted bro.Kubali tu kuwa hilo swali umechemka,omba Mungu hayo mengine uliyoyafanya yakuendee vizuri uitwe oral mkuu.otherwise usilazimishie majibu yako ndio yawe ya kweli.na pia usitulishe matango pori mzee
Washanicheki tayariKweli hata huku kusubiria kuitwa nako kunachosha pia, unaona kama huwezi kuitwa hivi
Kila la kheri katika majukumu yako, wengine bado tunasubiri placement hapa.Washanicheki tayari
Mpaka March mtakua mshatulia jikoniKila la kheri katika majukumu yako, wengine bado tunasubiri placement hapa.
Na ikaww hivo,.Mpaka March mtakua mshatulia jikoni
PamojaHongera kwako broh.
Hakika Subira yavuta Kheri.
Hongera sana kiongozi, wamekucheki lini?Washanicheki tayari
Usimbishie mtu,huenda ni miongoni mwa waliondaa hayo maswali hivyo majibu anayajua au ni miongoni mwa wanaosahihisha.maana jamaa ametoa majibu kwa kujiamini mno.Kubali tu kuwa hilo swali umechemka,omba Mungu hayo mengine uliyoyafanya yakuendee vizuri uitwe oral mkuu.otherwise usilazimishie majibu yako ndio yawe ya kweli.na pia usitulishe matango pori mzee