Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Kila la kheriKweli but ni Oral only not Written
Mkuu,kule kwenye ile ngoma ulikubali yaishe tu au uliamua kuwapa vijana ushindi?Kila la kheri mkuu, ukafanikiwe kupata kazi hii.
Mkuu uko poa?Mkuu,kule kwenye ile ngoma ulikubali yaishe tu au uliamua kuwapa vijana ushindi?
Niko poa mkuu,ndio ukomavu huo..inabidi tuvumiliane..nilipitia mahali nikaona ulikua sahihi kabisa.Mkuu uko poa?
Nilikubali tu yaishe, kutoa fursa ya mijala mingine kuendelea.
Ipo SELECTED FOR oral ya kijani tuhongera. vipi status ya interview ambayo ulifanya awali
Zinahusu nini?Hizi post za Wizara ya Mambo ya nje mbona wamezifuta au kwangu tu
Maana nliziona night kali zimewekwa asubuhi sioni kitu
Ubarikiwe mkuu, ni mambo ya kawaida katika majukwaa kama haya. Tunajifunza kila siku, hakuna anayejua kila kitu.Niko poa mkuu,ndio ukomavu huo..inabidi tuvumiliane..nilipitia mahali nikaona ulikua sahihi kabisa.
Sure mkuuUbarikiwe mkuu, ni mambo ya kawaida katika majukwaa kama haya. Tunajifunza kila siku, hakuna anayejua kila kitu.
Ameen 🙏🙏🙏Kila la kheri mkuu, ukafanikiwe kupata kazi hii.
Huenda watazirudishaforeign service officer
Hatari sana aisee... yaan hakuna kazi kila idara ni (0)Dah hali sio nzr au ndo mwisho w mwaka
ulifanya lini iyo oral mku ?Ipo SELECTED FOR oral ya kijani tu
Sasa ni zaidi ya siku Arobaini(40) mkuu ni kitambo tu 😁😁ulifanya lini iyo oral mku ?
Tena walipost call for interview kama 3 hiviHuenda watazirudisha
Aah let's wait... ni ya LATRA nini[emoji16]Sasa ni zaidi ya siku Arobaini(40) mkuu ni kitambo tu [emoji16][emoji16]
NopAah let's wait... ni ya LATRA nini[emoji16]