Hizohizo bila shaka, nakumbuka zilisimamiwa na utumishi wenyewe pale DomOoohh kumbe wewe wasuburi zile za OUT za November?
Hizohizo bila shaka, nakumbuka zilisimamiwa na utumishi wenyewe pale Dom
Ukishaona namba yako inaanza na PSRS basi hapo fahamu ukipita kwenda Oral utasugua sana banch kusubiria placements 🤓Yes ni PSRS/22 ...Zilikuwa
Ngoja tuliwahiWAKUU KUNA PDF HUKO KWENYE PLACEMENTS LA MB 5 FUNGUENI MUFURAHIE MAISHA WALE WOTE MNAOSUBIRIA PLACEMENTS
dahUkishaona namba yako inaanza na PSRS basi hapo fahamu ukipita kwenda Oral utasugua sana banch kusubiria placements [emoji851]
Mkikipata mlipakie na humuNgoja tuliwahi
Mkikipata mlipakie na humu
Ndio mkuuOoohh kumbe wewe wasuburi zile za OUT za November?
All the best[emoji1431]Nimeitwa kwenye usaili post tatu[emoji23][emoji23] Sijui Jumamosi nikatest mitambo pale CBSL?.
All in all nawatakia maandalizi mema kwa wote mlioitwa kwenye saili mbalimbali.
Ila nadhani January hii watatoa nyingiUkishaona namba yako inaanza na PSRS basi hapo fahamu ukipita kwenda Oral utasugua sana banch kusubiria placements 🤓
Kuna PDF huko wanasema umeliona???Ndio mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utajua hujuikumbe placement zinatoka baada ya miezi mitatu baad ya oral?
Safr ni ndefu mkuu kikubwa subira tuukumbe placement zinatoka baada ya miezi mitatu baad ya oral?
Placement walotoa leo 24/1/23 ni ya waliomaliza oral 23/10/22, miezi mitatu net[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utajua hujui
Na sahiv wataanza kuchelewesha na written majibu.placement walotoa leo 24/1/23 ni ya waliomaliza oral 23/10/22 . miez mitatu net
bora wafanye hivyo kwa umakini kuliko kuwahi kwa makosaNa sahiv wataanza kuchelewesha na written majibu.
Written mwez,placement miez 3,kaz ipo
Zote ni Dodoma..?Nimeitwa kwenye usaili post tatu😂😂 Sijui Jumamosi nikatest mitambo pale CBSL?.
All in all nawatakia maandalizi mema kwa wote mlioitwa kwenye saili mbalimbali.