Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu acha tuu tucheke tupunguze stress za kusubiria placement maana hakuna namna. Wakati nasoma programming, "null" ilikua code ya nothing yaani sifuri au hamna kitu.
Inawezekana kweli status zikawa hazina maana ila inatakiwa tupate ushuhuda wa mtu aliyeandikiwa Not Selected For null kwenye app akalamba mrija, then tumpate alieandikwa not selected for Oral baada ya written then akaruhusiwa kufanya Oral Interview kama yupo atatuondolea huu utata wa hizi status na tutajua kuwa hazina maana na wanaweka kwa kujifurahisha tu.

NB.
Jitahidi status yako isome Selected for Oral kwenye Web na Selected for null then hata ukisema haina maana inakuwa bora lakini siyo Not selected for then useme hazina maana.
 
Hivi kumbe maswali huwa yanahusu taaluma yako?

Mimi nilidhani ni random question za uelewa tu.

Na oral ni hivyo hivyo?
Yeah currently maswali yanakuwa ya kada husika na oral pia ni ya kada husika. Kama umeomba position ya Economist grade 2 jiandae kukutana na maswali matano oral manne ya darasani na moja ya uelewa ambalo linaweza kuwa la education background au tell us about your self.
 
Ety mkuu,, hili la education background Huwa linalimit,yaan halitakinuseme vitu vingine Kam aexperience, yaaan vinataka ujibu level zako za elimu tu..?
 
Maswali tuliyoulizwa ya finance TPDC ni haya

1. Explain what is Pandemic emergency financial facility and why is nneded

2. Ways in which financial development impact economic growth

3. Distinguish between financial capital maintenance and physical capital maintenance

4. Financial planning consider the important parties mention it
 
ebwaanaaa eeeeeh 😰 afu dk 50 tu
 
Ety mkuu,, hili la education background Huwa linalimit,yaan halitakinuseme vitu vingine Kam aexperience, yaaan vinataka ujibu level zako za elimu tu..?
Nisaidie jambo moja hapa nataka kufahamu toka kwako mkuu, nafikiri unasubiria placement/placements sasa nifahamishe, ulipoingia kwa interview ya oral, panelist wako hakukuuliza kwa kukuongoza/kufafanua katika swali hilo kuwa anataka kusikia nini toka kwako?

Kwa uzoefu wangu mdogo, panelist katika swali hili humuongoza msailiwa kwa kumueleza anataka vitu gani specific.
 
Vipi mkuu leo hayajadiliki hapa haya maswali, hata moja mkuu?
 
Haya maswali sio rahisi, unahitaji utulivu kuyajibu, niwatakie kila lenye kheri na sina la kuwalaumu kwa matokeo yoyote hapo, as naamini most of you guys mmejibu kutokana na uelewa tu.
 
Dah!...kwa dakika 40 mnazopewa lazima akili yako iwe 'sharp' kufikiri na kujibu vizuri..... anyway endeleeni kukomaa mpaka kieleweke.
 
Hawakupi muongozo kabisa wao wanauliza tu then wanakusikiliza ww..
Mimi au sisi kwenye Oral yetu walituuliza (Express your self and background)

So Kuna jamaa yangu yeye alitaja jina lake, Umri wake na level yake moja tu ya elimu kwamba degree na jina la chuo alichosoma. So yule panel mmoja akamwambia Education background basi akaanza kutaja kuanzia primary mpaka Ile degree yake.

Hvyo nili-note kitu kuwa wanataka sana hapa kwenye level za elimu. Pale unavyotaka shule na vyuo ulivyosoma huwa wanarefer kwenye vyeti.. utaona kabisa anachungulia kwa umakini yule jamaa.

Kwahyo hili swali Kila mtu anajibu yeye anavyoona inafaa au anajua, So mpangilio huwezi kufafanana.. Ila kitu Cha msingi ni kujibu kwa kujiamini bila kujali accent yako Iko vipi
 
Ety mkuu,, hili la education background Huwa linalimit,yaan halitakinuseme vitu vingine Kam aexperience, yaaan vinataka ujibu level zako za elimu tu..?
Yeah hili la elimu linataka useme tu education background kama pale unapoandikaga kwenye CV education background from primary, secondary, advanced level mpaka university.

Go direct to the question and answer usizunguke sana ili usiwachoshe. But I stand to be corrected maana naona Kuna tofauti kati ya Tell us about yourself and Education background. Nawasilisha.
 
Yaah kuna wengine wanaulizwa education background kuna wengine wanauliza education background and working experience so inategemea utaulizwa vipi hapo
 
Kwenye hili education background, kuanza na kutaja jina, unakotoka/kuzaliwa na miaka yako then education background itakuwa uko tofauti/Haitakiwi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…