Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi watufikirie watu wa ict tuna haso sana hizi pepa 3 aisee mtu akifika oral wampe kazi
Pepa 3 SI mchezo mkuu ngoja nikichekeshe kidogo mie Ilikua kila nikipiga Pepa nasepa stand kusubir matokeo Kuwa nikiona tu not selected nipande gari nisepe so mfano natoka kwenye Pepa saa Tano mfano written nazuga kidogo huyo stand kuu hahahha😂 nikaaa nawait mpka saa tatu usiku ni mwendo wa kurefresh ajira potal bila wakitoa matokeo nimepenya safari ya kurudi Sabasaba inaanza nakuta guest zote za bei ndogo zimejaaa natembea sana mpka napata chumba nipo hoviez hahahahaha practical Tena hivyo hivyo duh mkeka ukitoka nipo duh narudi Tena Town Kuna jamaa pract alisepa kufika mbele huko sijui gairo akaona mkeka yupo akarudi hahhahaa noma so Pepa 3 kupita zote mungu tu anasaidia kwa kweli
 
😂😂😂😂
 
Hahaja very interesting
Kwenye oral ulichagua ufundishe topic gani mkuu?
 
Mhh ! Kila mtu katoboa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiyo jobless tumebaki wangapi ?
 
Wadau inakuwaje ? Mimi Kuna post ya tutorial assistant sijawa shortlisted na sababu wameniwekea .

Training Institution not Accredited by TCU

Sasa hapo sijawaelewa wakuu kwamba Taasisi iliyonitrain haitambuliki na TCU au imekuwaje ?


NOTE:MIMI NIMEMALIZA MASOMO KWENYE TAASISI KAMA DIT,TIA,IAA HALAFU NILIOMBA POST ILIYOTOLEWA NA VYUO VIKUU KAMA MZUMBE,UDSM,UDOM.


aliyenielewa naomba anielekeze.
 
Taja chuo ulichosoma
 


Mkuu taja hiyo institute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…