nmeangalia hapa kada ya uhandisi bado hayajatoka nmeona technicians only kwa upande wa TPDCMatokeo yametoka kwa kada karibu zote, waliobakia ni FINANCE MANAGEMENT OFFICER II nahisi, ingia kwenye tovuti ujioneeee
Kada za TBC pia bado Transport Officer IIMatokeo yametoka kwa kada karibu zote, waliobakia ni FINANCE MANAGEMENT OFFICER II nahisi, ingia kwenye tovuti ujioneeee
Maswali ya kijinga hayayametoka saa ngapi??
au vp basi freshy vunga.....mana ujanja ukiuzidisha sana unaonekana mshambaMaswali ya kijinga haya
Ameeen asante sana PGOHabari zenu, hope nyote mpo poa. Mapambano yaendelee, Maombi yangu kwenu nyote mliofanya mitihani. Mungu yupo nasi. Mlale salama[emoji1431]
Mengi tushayasema humu hasa kila tunapotoka kwenye Oral, unaweza kupitia pitia comment utaonaGuys mloingia kweny mrija wa taifa wa asali tunaombeni techniques za kutoboa oral interview za utumishi japo in summary
Mlikuwa na Induction?Yeah
Ahsante kwa Maombi, Mungu awe nawe kwenye mihangaiko na mapambano ya kuusaka mrija wa Asali kupitia gridi ya TaifaHabari zenu, hope nyote mpo poa. Mapambano yaendelee, Maombi yangu kwenu nyote mliofanya mitihani. Mungu yupo nasi. Mlale salama[emoji1431]
AsanteHongera sana mkuu, umefika mwisho wa safari yako ya kusaka mrija wa asali sasa unaanza maisha mapya kabisa. Hongera sana
Asante Kwa ukaribishoKaribu sana mbeya kwetu mkuu
Institute of Adult EducationMZUMBE, MUST, TIA, CBE, TEKU, SAUT, au wapi mkuu
Yeah kama wiki hiviMlikuwa na Induction?
Kapige kazi Mzee,ila zingatia viapo.Waepuke sana mabinti tusije tukapoteze kazi hahahhaahaInstitute of Adult Education
Uhamiaji maswali yake
1. Define
Foreigner, immigration, bonified citizen.
2. Importance of immigration to economy.
3. Regional Africans block that Tanzania is a member.
4. Required documents to travel abroad.
5. Andika wimbo wa taifa
umepangiwa taasisi gani?Habari zenu, hope nyote mpo poa. Mapambano yaendelee, Maombi yangu kwenu nyote mliofanya mitihani. Mungu yupo nasi. Mlale salama[emoji1431]