huko kubadilika kwa mtazamo wang naona ni suala la faults t za system yao lakn hazireflect chchte ktka matokeo ya mwisho nionavyo....kikubwa ksbria t pdfWengine zinabadilika badilika kwenye app mara selected for null,mara practical mara oral tunashindwa kuelewa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
ulimalza oral tareh ngap december ?Wengine zinabadilika badilika kwenye app mara selected for null,mara practical mara oral tunashindwa kuelewa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ahaa, sasa nifanye namna ili mzigo uwe una divert na kuja hapa Ukaguzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787](kiding)Unapolipa kwa control number ya sirikali , mzigo unasoma kwenye server za ofic zao
Selcted for null kweny app maanake ni selected for oral....still status hazireflect kupata au kukosa kz hahaha kikubwa pdfJaman [emoji1316][emoji1316] wale wa selected for null kitu ni uwakikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108]
Haka kamtaa kana jam fulani hivi inayovutia mida ya kwenda kazini na kutoka.Yani upo jikoni kabisa mkuu
Hongera sana mkuu.Jaman [emoji1316][emoji1316] wale wa selected for null kitu ni uwakikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108]
Mkuu yule jamaa aliekupaga lift na IST(anafanya kazi kiwandan) ambae ulikua unasema kashapiga hatua sana na mmemaliza wote anajua kama upo sehemu hotcake saivi?Haka kamtaa kana jam fulani hivi inayovutia mida ya kwenda kazini na kutoka.
Ofisi za serikali zimejipanga humu ingawa ni chache/kiduchu ukilinganisha na zilizopo
Atakuwa kashajua maana hii kitu haifichiki.Mkuu yule jamaa aliekupaga lift na IST(anafanya kazi kiwandan) ambae ulikua unasema kashapiga hatua sana na mmemaliza wote anajua kama upo sehemu hotcake saivi?
Mimi sikufanya HESLB