Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Duuuuh pole sana kaka, but kukata tamaa sio suruhisho kwenye maisha yetu, kumbuka ku fail ni mafanikio yaliyopo kwenye mchakato, na pia inatakiwa ujue wakati wako utafika na utafurahia.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Dah mzee.. zile interview za TRA mbili zilizopita nilipata 49.5 nyingine 49.. Hii sijajua nimepata ngapi, nyingine kama tano nilikua naanzia 47Duuuuh pole sana kaka, but kukata tamaa sio suruhisho kwenye maisha yetu, kumbuka ku fail ni mafanikio yaliyopo kwenye mchakato, na pia inatakiwa ujue wakati wako utafika na utafurahia.
Tuendelee kupambana na tusikate tamaa kujaribu tena pale panapo majaliwa na nafasi zitakapo tangazwa tena. Uwenda Kuna nafasi yako nzuri sana inakuja. May Almighty God grant us blessings [emoji120].
Mkuu pole sana mkuu i feel you bro, lkn kumbuka waliofanikiwa walifeli na kuinuka pia, kwahiyo hii ni safari tu ina mabonde na milima tusichoke safari bado kuna mahala tumeandaliwa tusonge mbele.....Afisa hesabu mkuu.
Kukata tamaa mwiko.Kila mtu humu ndani angekata tamaa basi asingekuwa na kazi serikalini kupitia PSRS.Chochote unachofanya kiwe funzo kwa hatua zinazofuatia.Kikubwa ni kutokata tamaa tu.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
I feel you kaka situation unayopitia, unaweza kujiona kama hauna bahati, una mikosi na kujiuliza why always me..!? . But trust to the Almighty God, and believe the future is excited. Mungu anaona mapambano na jitihada zako. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Dah mzee.. zile interview za TRA mbili zilizopita nilipata 49.5 nyingine 49.. Hii sijajua nimepata ngapi, nyingine kama tano nilikua naanzia 47
Sasa kama hii mass recruitment inachomoa, post za watu wawili or watatu ntapata lini mkuu
I'm done [emoji23]
Ni suala la muda tu ndugu yangu, tusikate tamaa kakaDaaah! Same situation hapa hivi wanaokuwa selected wanafanyaje Aloooh
Taasisi za November mwanzoni zimeisha tayari kwani ukiangalia trend ilivyo?Hii week Sasa PSRS waanze kuita kazini walei waliofanya Usaili kuanzia mwezi wa 11 mwishoni, yaan Kila siku tuona tarehe hyohyo tar 07 Nov hadi twashangaa.
Au vipi mazaga one
Ni muda Sasa wa watu wa Nov na Dec😭😭
Ukiangalia kwa Jicho Pana unaonekana unasoma sana pia kabla ya Usaili.Amini kwamba ipo Siku utakuwa Selected na hutaamini na siku hiyo ndio utapata kazi.Historia mpya itaenda kuandikwa kwako.Dah mzee.. zile interview za TRA mbili zilizopita nilipata 49.5 nyingine 49.. Hii sijajua nimepata ngapi, nyingine kama tano nilikua naanzia 47
Sasa kama hii mass recruitment inachomoa, post za watu wawili or watatu ntapata lini mkuu
I'm done [emoji23]
Ni suala la muda tu ndugu yangu, tusikate tamaa kaka
Kaka naelewa how it hurts lkn kumbuka hiyo hali sio wewe pekee au sio wewe wa kwanza, tuliona akina mwifwa na leo wako kazini, na wengine hawasemi tu lkn wanapitia hiyo hali , mafanikio ni kufeli na kutokukata tamaa mpk kufaulu na kumbuka sio umefeli ila hujafika maximum yso, funga mkanda jipange tuingie mzigoni next time.Ndugu yangu haya mambo yanaumiza mnoo! Interview nane zote kuambulia patupu! Daah
"That steps you afraid to make, might be a game changer". Mara zote pale unapoona mwisho kwa wewe kuweza kusonga mbele ndipo ambapo ungejitahidi na kusonga mbele ndipo ungefikia ndoto zako. Kutokukata tamaa ndio lengo letu kuu.Ndugu yangu haya mambo yanaumiza mnoo! Interview nane zote kuambulia patupu! Daah
Usije Kata tamaa Badilisha namna ya Usomaji tu na Jitahid kuomba Field yako tu.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Kwa Ushauri wng km ulikuwa unasoma Kwa kudiscuss achana nayo Soma We km We?!Daaah! Same situation hapa hivi wanaokuwa selected wanafanyaje Aloooh
Dah mzee.. zile interview za TRA mbili zilizopita nilipata 49.5 nyingine 49.. Hii sijajua nimepata ngapi, nyingine kama tano nilikua naanzia 47
Sasa kama hii mass recruitment inachomoa, post za watu wawili or watatu ntapata lini mkuu
I'm done [emoji23]
Na ukishaona hivi ndo huwa dalili ya kutoboa inayofuata fanyia marekebisho padogo tuu,ipo siku utarudi hapa kusema tulikuambia.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Pole sana mkuu, lakini napenda kukutia moyo endelea kupambana na kujiandaa vizuri kabisa kuanzia kwenye written. Soma kama vile unasomea Paper la UE, tena ikiwezekana ni Supplementary na uangalie mfumo wa maswali huwa yanakujaje kujaje.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Hua wanakukadriaNimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]