plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Usikate tamaa mda siku aijulikani lakini hipo one day yesNimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Dah japo ni za mkataba zile ila sio mbaya at least maisha ytasogeaTuwapongeze in advance watakaolamba buyu la asali la WCF. Aise wale watu wanlipana vizuri bwana🫡
Ndio ile ya accounts officer ii mliyokua mnabishania humu kuhusu elements of financial statements na mheshimiwa Orosso?Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Pamoja mkuu hipo siku mambo yatakuwa poaFeedback wakuu nimekuta not selected, ngoja tukomae kitaa.
Inaumiza sana tena sana, unaweza hisi kuna kitu umemkosea muumba.Pamoja mkuu hipo siku mambo yatakuwa poa
Kweli kabisa hauko peke yako tupo wengi bora nyinyi huko wenye digrii angalau kazi zinatangwaza huku kwenye kada yetu ya ufundi zinatoka chache mno lakini haina kukata tamaa mpaka kieleweke kushindwa ni dalili ya kushinda kukata tamaa ni dalili ya kushindwaInaumiza sana tena sana, unaweza hisi kuna kitu umemkosea muumba.
Ingia kwenye account yako wameweka Kila kitu mkuuNaomba kuuliza wakuu, ukiwa selected kwenda oral.
Interview inakuwa lini au mpaka mkeka wa pdf utoke?
Watatoa tangazo, wewe anza kujiandaa na usaili.Naomba kuuliza wakuu, ukiwa selected kwenda oral.
Interview inakuwa lini au mpaka mkeka wa pdf utoke?
Ukichaguliwa oral utakuta kwenye account yako wamesha weka ratiba ya oral hata kama pdf haijatokaNaomba kuuliza wakuu, ukiwa selected kwenda oral.
Interview inakuwa lini au mpaka mkeka wa pdf utoke?
Kila lililo Jema Juu Yako na usichoke kujaribu tena?!Feedback wakuu nimekuta not selected, ngoja tukomae kitaa.
Pole sanaSekretarieti ya Ajira hivi huwa mnataka mtu ajibuje ndo afauru msaada wenu naomba, nimeumia Sana.
Na kweli Mkuu,nipo ndani ya muda kabisa.Hahahahaha! Hongera sana Mkuu, hicho ulitakiwa ukifanye muda mrefu sana, lakini uzuri ni kwamba hujachelewa.
Asante mkuu najiuliza sipati majibu.Pole sana
Hongera sana I wish niwe ww.Wakuu, wale wa MDAs na LGAs interview za tr15 January, hebu ingieni kwenye App. PDF haijatoka lakini nimekuta hii kwangu. Naendelea kusubiri PDF. Mungu anijaalie iwe hivi.View attachment 2510000
Sawa nduguKila lililo Jema Juu Yako na usichoke kujaribu tena?!
Pole sana mkuu at the end maisha lazima yaendelee no mara whaaaa!Hongera sana I wish niwe ww.