HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nakuunga mkono mkuu Mimi nifail effect of covid-19 hapana kuna kitu
 
Huenda hujafeli ila wapo wengi wenye ufaulu mkubwa kuliko wewe.....

Usikate tamaa bado mapema mno nafasi nyingine ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…