Mkuu kutokuchaguliwa kwenda written hakumaanishi kuwa umepata chini ya 50.Kwa mara ya kwanza nimewatilia shaka utumishi. Hawa jamaa hawajasahisha mitihani. Matokeo yamepikwa. Nitakua wa mwisho kuamini kama nimepata marks chini ya 50. Mtihani ulikua ndani ya uwezo wangu katika kila angle. Siwaamini tena hawa jamaa. Ni bora kuhangaika na private sector huku kuna janja janja sana.
We jamaa huko nyuma mbona ulisema umefanya technician leo umebadili gia angani hahah
We jamaa huko nyuma mbona ulisema umefanya technician leo umebadili gia angani hahah
Mkuu mbona unanijua sana ?We jamaa huko nyuma mbona ulisema umefanya technician leo umebadili gia angani hahah
ICT wachache humu tunajuana vizuri tu 🤣🤣 ila usiwaze mkuu just jokes... maisha yaendeleeMkuu mbona unanijua sana ?
Ni kweli mi nikifanya technician sijataka kujieleza sana kwa mshikaji ila ulichoongea ndio ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
😅😅😅ICT wachache humu tunajuana vizuri tu 🤣🤣 ila usiwaze mkuu just jokes... maisha yaendelee
Hahaha nakubali mkuu,nawewe ulifanya tra?ICT wachache humu tunajuana vizuri tu 🤣🤣 ila usiwaze mkuu just jokes... maisha yaendelee
Mkuu una kumbu kumbu nzuri sana. 😃🤣We jamaa huko nyuma mbona ulisema umefanya technician leo umebadili gia angani hahah
Mbona hawatoi pdf ya marks zetu tuone tulichopata.Mkuu kutokuchaguliwa kwenda written hakumaanishi kuwa umepata chini ya 50.
Unaweza kuwa juu ya 50 lakini usichaguliwe sababu unakuta waliofaulu ni wengi kiasi Cha kwamba wamekatia alama za juu ata 70 Ili kupata ratio ya 1:3 kwa watakaingia oral.
Hongera sana mkuu kwa kupenya hatua hiyi na kuingia hatua ya mahojiano.Mbona me sion ratiba jaman
PDF Zitapandishwa tu, kuwa mvumilivu mkuu.Mbona hawatoi pdf ya marks zetu tuone tulichopata.
[emoji3] sawa mzee wa financial statementsMkuu una kumbu kumbu nzuri sana. [emoji2][emoji1787]
Wanangu wa AEA kwenye Mchumi- MDA and LGA tumepigwa ndoige haswa,
Asante sana boss.Hongera sana mkuu kwa kupenya hatua hiyi na kuingia hatua ya mahojiano.
Mkuu mbona unanijua sana ?
Ni kweli mi nikifanya technician sijataka kujieleza sana kwa mshikaji ila ulichoongea ndio ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni balaa, hilo ni tokea la mwanangu wa AEA, ndiyo kanipa nimuulizie, mpango mzima.Wanangu wa AEA kwenye Mchumi- MDA and LGA tumepigwa ndoige haswa,