HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu, ikawe kheri kwako
 
Kwa watakwimu waliofika oral kipindi cha nyuma tupeni hints kidogo interview zinatokaje jaman
Nakushauri pitia kiundani/study in deep kuhusu zile job descriptions( usiishie kuzisoma tuu kama walivyoorodhesha bali wewe nenda one or two extra miles. Maana kuna swali moja au mawili yatatokana na job descriptions ya nafasi uliyoomba.
 
Wakubwa Hivii Oral ya AFISA MIFUGO - MDA & LGA ni tarehe ngapii?

Mm naona selected for oral niki view timetable sioni oral timetable, nisaidienii??
Km unatumia Browser ya kawaida Jarbu kuweka View Desktop Site hii inafanya Page yako iwe na Muonekano km unatumia Computer/PC utaweza Kuona vzr kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…