HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
marks za written
Sijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka

Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern

Suala la marks za written linaishia kwenye pdf ya matokeo tu. Pale Asha Rose Migiro mnaanza upya. Vivyo hivyo alphabetical order haihusiani hapa
 
Oooh sawa
 
wanaendaga kwa mtiririko wa marks, descending order. mwenye marks kubwa anaanza hadi ndogo . matokeo ya written yanatumika mule..
 
Kaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5

Hebu angalia Acc Officer, nimepata marks 75 halafu wakanzia kuchukua 76

[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…