mpangilio wa marks za Oral ndio unatumika sana pale.. sio kwamba namaanisha huko kwenye michakato mingine wanatumia hapana, hata kama wanatumia me sijui.. Ila pale mnaitwa kulingana na pdf ya Matokeo ilivyotoka,, aliyeongoza ni dhahiri kuwa ataanza Usaili na itaendelea hvyoSijajua kwa wengine...ila sisi ilikua aliyewahi kuandika jina kwenye list basi ndio wanafuata hiyo. Na kama mtu ana special case either mgonjwa/ananyonyesha/mlemavu anapewa kipaumbele afanye awahi kutoka
Unaweza hata kuwaomba wenzio uingie wa kwanza kama una private concern
Suala la marks za written linaishia kwenye pdf ya matokeo tu. Pale Asha Rose Migiro mnaanza upya. Vivyo hivyo alphabetical order haihusiani hapa
Kweli Mkuu. Lakini pia kama haupo nafasi ya juu na mpo wengi kama una issue unaeza kuomba ukaanza usaili. Issues ni kama Mgonjwa,unanyonyesha ila sio useme unawahi busmpangilio wa marks za Oral ndio unatumika sana pale.. sio kwamba namaanisha huko kwenye michakato mingine wanatumia hapana, hata kama wanatumia me sijui.. Ila pale mnaitwa kulingana na pdf ya Matokeo ilivyotoka,, aliyeongoza ni dhahiri kuwa ataanza Usaili na itaendelea hvyo
Wewe ndo unasubiria kwa udi na uvumba,, kwanza hata sura yako inaonesha kuwa uko na uchu wa hyo pdf MzeeBaba 😁😁Pdf ya mamlaka ya mapato ndo habari ya mjini watu wanasubiria haswaaa. Jamaa mmoja alisikika akisema jina likitoka leo kesho yupo Dodoma kuchukua barua
Wewe ndo unasubiria kwa udi na uvumba,, kwanza hata sura yako inaonesha kuwa uko na uchu wa hyo pdf MzeeBaba 😁😁Pdf ya mamlaka ya mapato ndo habari ya mjini watu wanasubiria haswaaa. Jamaa mmoja alisikika akisema jina likitoka leo kesho yupo Dodoma kuchukua barua
Wekeza nguvu zako private sector.Kaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5
Hebu angalia Acc Officer, nimepata marks 75 halafu wakanzia kuchukua 76
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 2510529View attachment 2510530
Mbn unamkatisha jamaa tamaa kwani kukosa hizo 2 ndo inamaanisha hatopta tena serkalini mkuu?Wekeza nguvu zako private sector.
Mkuu inabidi ukaze sana usije kughairi.Nimekuta not selected for oral MDA, aisee hii vita ni ngumu.
Kila attempt nayofafanya hua naishia 47 - 49.5
Attempts kama 8 sasa [emoji38]
Nimetundika daruga rasmi [emoji119]
Hapo amekatishwa tamaa wapi?mbona mnapenda kuleta tafsiri zenu?Mbn unamkatisha jamaa tamaa kwani kukosa hizo 2 ndo inamaanisha hatopta tena serkalini mkuu?
Huu ndo ushauri wa sawa...mwiko kukata tamaaMkuu inabidi ukaze sana usije kughairi.
Ila we jamaa 🙌🙌🙌🙌Hapo amekatishwa tamaa wapi?mbona mnapenda kuleta tafsiri zenu?
Kwani kufanya kazi private sector ni dhambi?
Nijibu swali langu mzee,kufanya kazi private ni dhambi kwa tafsiri yako?Ila we jamaa 🙌🙌🙌🙌
Ila we jamaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa kua we ushapata serikalini,we kyagata ww,haya banaWekeza nguvu zako private sector.
Hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣, aaaah dah, we jamaa wa kupe io kazi, PSRS mtatuulia watu kama mtatoa april,🤣🤣🤣🤣Pdf ya mamlaka ya mapato ndo habari ya mjini watu wanasubiria haswaaa. Jamaa mmoja alisikika akisema jina likitoka leo kesho yupo Dodoma kuchukua barua
Msipende ku exaggerate mambo?Kwa kua we ushapata serikalini,we kyagata ww,haya bana
Babu tupo wengi wakukosa mbili au moja mie had nataka kwenda kwa mgangaKaka nilikwambia hua nakosa marks moja au nusu mark, kwenye TRA nilipata 49.5
Hebu angalia Acc Officer, nimepata marks 75 halafu wakanzia kuchukua 76
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 2510529View attachment 2510530
Huyo jamaa siku pdf ya tra ikitoka itabidi daktari awe karibu kumonitor mapigo yake ya moyo,maana akikosa anaweza kufa kwa preshaHahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣, aaaah dah, we jamaa wa kupe io kazi, PSRS mtatuulia watu kama mtatoa april,🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha, njoo nikupeleke mahali mkuu.Babu tupo wengi wakukosa mbili au moja mie had nataka kwenda kwa mganga
Yupo vizuri mana nakaribia mara 10Ha ha ha, njoo nikupeleke mahali mkuu.
Ha ha ha,yuko vizuri sio poaYupo vizuri mana nakaribia mara 10