HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sema post yake uhakika mkubwa, Sabu nafasi zimezidi idadi ya walioingia oral.

Sema mwamba sijui alikuwa wp angechangamsha sana hii thread😆😆
Swala la kijana wangu kupata TRA sina shaka nalo ila ni huo moto wa izo post za TRA zilivo kichwani, ndo zinaniwazisha kama je pdf ikitoka april wata nitesea sana kijana wangu ataingia TRA amechoka. Maana kufatilia placement kwa mda mrefu ukiwa na tension kubwa ni psychological toture kubwa sana.
 
Ikiwa hili litafanyika tuwe na uhakika wasaka mrija wengi watakosa Asali na huko watajazana vigogo na ndugu zao.
Nadhan hili si jambo la vijana watoto wa masikini kulishabikia hasa ukiwa huna connectiom ajira za vimemo zitajazana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…