HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatukatai michakato kuendeshwa haraka ila mianya inayoweza kuchipuka ndio itakuwa kikwazo kwa baadhi yetu.

PSRS wako fair kwa asilimia kubwa hata kama wanakumbwa na ucheleweshaji wa michakato.

Taasisi au mashirika ya kiserikali yakipewa jukumu la wao kufanya michakato itakuwa kichomi kwa walalahoi/wasio na koneksheni.

Nimewaza hivi, je wadau mna maoni gani juu ya mawazo yangu haya?
 
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika hatua yako hiyo muhimu.

Mungu awe nawe!
 
Utaacha mwenyewe automatically siku ukiona jina lako kwenye placement
Ukiamua kuacha unaacha, mimi siku hizi napita humu kusalimia na kuwapongeza watu, kuwapa moyo waliokosa ama kukata tamaa, basi...
Yaan napita huku kwa kuwa nmezoea watu humu na ata itokee nini kuwajulia hali siwez pitisha siku mbili[emoji4]
 
From one job to another kuna gape kubwa nataka nipunguze
Kuna kampuni sitaki kuziweka
Wala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.
Pili, hata ukirekebisha sasa, haitasaidii kwa usaili wako huu oral, mpaka itapotokea umeomba tena, kifupi, itakua effective kwa saili zijazo.
 
Wala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.
Pili, hata ukirekebisha sasa, haitasaidii kwa usaili wako huu oral, mpaka itapotokea umeomba tena, kifupi, itakua effective kwa saili zijazo.
Ooh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background ama
 
Ooh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background ama
Ile siku ya mwisho I mean deadline ya application ya kazi husika, information uwa zinachukuliwa zote, so ukibadilisha kitu chochote after hapo itakuwa for the next interview, ndo maana ata wale waliokuwa wanabadilisha address even a month before bado walijikuta wamepangwa kwenye address zao za zamani
 
Ni kweli , Kila Taasisi ikijitegemea kuajiri, itafanya zoezi la usaili na placement liende chapu mno, lakini guarantee ya fairness ndo haitokuwepo
 
Heee kumbe bas me sikujua,mana i rem kuna interview nlikuja kucertify vyet ilibak like 3 weeks waite and the deadline was months ago,actually it was 8 months ago na nikafanikiwa kuitwa.

Nlichelewa kucertify baada ya majib ya application nyingne kuja kua skuchaguliwa kwa sababu hyo ya vyet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…