Na mimi ningependa kujuaMsaada hivi oral za utumishi zinakuwaje kwa ufupi ili tupate mwanga wapi pa kuanzia jamani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Unaripoti saa Moja asubuhi, mnakaguliwa vyeti,mnakusanya simu. Kama mko wengi mnaganywa kwenye vikundi na vyumba vya usaili. Yote hayo mnaweza kumaliza hata kabla ya saa 3 asubuhi. Lakini amini Amin nakuambia kwenye usaili mtaanza kuingia saa 6 au saa 7. Hapa hata aliyekuwa na wenge la kusoma lazima wenge likate.Msaada hivi oral za utumishi zinakuwaje kwa ufupi ili tupate mwanga wapi pa kuanzia jamani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
kikubwa wa balance programu zotehii itakuwa ni nzur.. naamin database inawataalam wengi, kuliko utumishi kufanya re-advertisement , waajiri waliopo kwenye database. mfano technologist phamacy II na Assistant nursing officer ANO naamin wapo database. ila naona leo wametoa re-advertisement ila utakuta hao wataalam wa hizo kada wapo kanzidata wengi
Kbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasikikubwa wa balance programu zote
Itakua walifeli oralhii itakuwa ni nzur.. naamin database inawataalam wengi, kuliko utumishi kufanya re-advertisement , waajiri waliopo kwenye database. mfano technologist phamacy II na Assistant nursing officer ANO naamin wapo database. ila naona leo wametoa re-advertisement ila utakuta hao wataalam wa hizo kada wapo kanzidata wengi
vibaya mkuu,ngoja tuone pdf itakuaje coz wamesema ni ndani ya mwezi huuKbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasi
Yan kuna kada kazi zinazotangazwa unakuta mbili tu kwa mwakaKbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasi
wanapaswa kuangalia uhitaji wa nchi. unakuta uhitaji wa hizo kada nchini ni mdogo sana.Kbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasi
sio kweliItakua walifeli oral
HatariiYan kuna kada kazi zinazotangazwa unakuta mbili tu kwa mwaka
vibaya mkuuKbsa maana kuna kada zinahaso sn kupata nafasi
Ukitaka uhudhurie kila pepa utumishi soma economics/agro economics na Account hizi ni kilaka serikaliniHatarii
Toa Accounts hapo.vibaya mkuu
Ukitaka uhudhurie kila pepa utumishi soma economics/agro economics na Account hizi ni kilaka serikalini
Muda wa kazi za Gavo ni kuanzia saa 1 : 30 asubuhi hadi saa 9:30 MchanaMnatokaga saa ngapi huko?
tuweke pspa mkuuToa Accounts hapo.
Hahahaaa, sio kivile sana, bado nahudhuria vizuriKabisa mkuu naona hata wewe mahudhurio yako jamvini yashakua adimu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Oooh mapema had rahaMuda wa kazi za Gavo ni kuanzia saa 1 : 30 asubuhi hadi saa 9:30 Mchana
Kuna mtu aliniambia inabidi tutoke Saa Kumi na Nusu kwa kuwa kuna muda wa Saa Moja itumikayo kwa ajili ya chakula.Muda wa kazi za Gavo ni kuanzia saa 1 : 30 asubuhi hadi saa 9:30 Mchana
Suala la kuitwa kuhojiwa kulingana na mpangilio wa marks za written naona sio jema kama ni kweli utumishi mnafanya hivyo. Sekretarieti ya AjiraMr.. majina Huwa wanakuwanayo pale tena yapo kwa mpangilio.. Sasa issu ni kwamba kwa kutaka kuondoa mkanganyika wa watu kujisajiri ovyoovyo kwenye karatasi mpya Huwa wanaita kwa mlolongo uleule wa marks,, so wa kwanza ataanza