HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bila kusahau kuna kahoteli pale utaenda kunywa chai andaa kahela kako kama hautafunga hio siku😁
 
Naomba kuuliza,mdada kwenye interview ya utumish anaruhusiwa kuvaa suruali ya kitambaa?
Achana na suruali sijui za heshima huwezi jua wasimamizi wataamkaje siku iyo. Utakutana na mbibi ametoka Chuo cha utumishi wa Umma lazima akutoe nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…