HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuuu... kuna tofauti gani kati ya selected for NULL... Na Selected for Oral Interview?
 
Hilo ni la kweli kabisa, urasimu utakuwa mkubwa sana
 
Wala usiangaike nazo, moja, formality ya usaili utumishi ni tofauti sana na huku private sector.
Pili, hata ukirekebisha sasa, haitasaidii kwa usaili wako huu oral, mpaka itapotokea umeomba tena, kifupi, itakua effective kwa saili zijazo.
Very truly.
 
Ooh sawa boss,utofauti how? Cv doesnt matter? Si kuna lile swali la background ama
Pale sidhani kama wanakuwa na copy ya cv yako uliyo-update kwenye system. Lakini ambacho ningeweza kukushauri pia, ni hivi unaweza kuutumia huo muda kuji-introduce vizuri na kuelezea kwa kifupi kwa kuanzia education background had work experience. Unaweza taja level of education na muda uliotumia kukumilisha hiyo level(starting year to finishing year) hivyohivyo kwenye work experience.
 
Wale wajomba hawanaga cv yako pale aisee.tulishawahi kuwa na debate na wadau flani kuhusu hii issue.

Ila nikaja ku prove mwenyewe hawanaga cv za msahiliwa pale
 
Hujanielewa boss.

Yani cv yangu ina gaps kubwa from one job to another,so nachotaka nichange dates na pia niondoe some companies from the cv mana hazina umuhimu,nataka niweke like tatu tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…