Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humuWale mnaoondokaga na bus za kuchanga mko wap,zile hakuna kulala
Status haibaliki imenasia pale pale.. yaani zile zote nilizozama oral zipo vile vileStatus ipoje kwnza tuanzie hapo 🤣
Asaivi hakuna null aiseekama wamefanya hivyo ni bora zaidi. kwaiyo sasa hivi hakuna null tena ?
ata kwangu null imebadilika kuwa oral interview. hivii hii ni kwa wote au ndo tushakandwa kwa ndoige ?Asaivi hakuna null aisee
mnzazidi kutuchanganya. si mmesema null imeondolewa[emoji134]Hii nimeiona sehemuView attachment 2511469
Bado ipo. Hata kwangu ipo.. na zipo interview mbili moja selected for oral nyingine selected for null ndo maana nikataka kujua tofauti zakemnzazidi kutuchanganya. si mmesema null imeondolewa[emoji134]
Heeee skujua my dear nahis huo uzi ulinipita,shukran.Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humu
Twinawe ni shahidi wa athari zake.
Kama hauna sababu ya msingi kukufanya utumie huo usafiri, usiutumie, tumia usafiri wa Umma.
Dah... mm ilikua selected for null, wameondoa wakaweka selected for oral interview kwenye app ambayo haibadiliki tenaBado ipo. Hata kwangu ipo.. na zipo interview mbili moja selected for oral nyingine selected for null ndo maana nikataka kujua tofauti zake
Hivi vitu vinachanganya hata hivo.. ni kungoja pdf tuuDah... mm ilikua selected for null, wameondoa wakaweka selected for oral interview kwenye app ambayo haibadiliki tena
Asee mi sishauri mtu asafiri kwa design hiyo kupanda Costa na hizi gari ndogo ni kujirisk sana mimi ni muhanga asee bora ujirisk wakati wa kurudi ila wakati wa kwenda book mapema safiri salama.Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humu
Twinawe ni shahidi wa athari zake.
Kama hauna sababu ya msingi kukufanya utumie huo usafiri, usiutumie, tumia usafiri wa Umma.
Ni usafiri wenye mambo mengi....Na mimi namshauri atumie usafiri wa umma tuu.Tushajadili athari za usafiri wa namna hiyo(yaani magari ya hamna kulala) humu
Twinawe ni shahidi wa athari zake.
Kama hauna sababu ya msingi kukufanya utumie huo usafiri, usiutumie, tumia usafiri wa Umma.
Jamaa kachukuliwa tena toka kanzidata hapo achague mwenyewe kazi kwake, abaki kufundisha au aende ofisini akafanye kazi za iT😁Umekula shavu la pili nini mkuu
PDF ndo muhimu hizi statuc muachane nazo zitawapa presha tuHivi vitu vinachanganya hata hivo.. ni kungoja pdf tuu
Where is the source ?[emoji2369]Hii nimeiona sehemuView attachment 2511469
Anayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
Hongera sana mkuu kwa kupata na huku japo sina hakika kama unaweza kutoka uliko kwa muda huu,labda jaribu kufanya mchakatoAnayejua mishahara ya hawa "menejimenti ya utumishi wa umma na utawala Bora" aniambie tafadhali
1. Duties za statistician.
2. Methods of data collection
3. Steps of conducting research
4. When to use Qualitative and Quantitative research
5. Types of data
6. How do you stay current with the latest developments in statistics and data analysis?
7. What is your experience with time series analysis and how have you applied it in your work?
8. What is your experience with data visualization and how do you choose the appropriate chart or graph for a given dataset?
9. What is the central limit theorem and how does it apply to statistical analysis?
10. Challenges
11. Tell us a little bit abt yourself
12. What are the disadvantages and advantages of statistics
13. Explain the scopes of statistics
Experince ya kufanya interview as statistician hayo ni baadhi ya maswali nlokumbana nayo
But qn no 1,2,3,4,9,12 nilikutana nayo utumishi
Sawa boss,nimekuelewa,shukran sikujua.Asee mi sishauri mtu asafiri kwa design hiyo kupanda Costa na hizi gari ndogo ni kujirisk sana mimi ni muhanga asee bora ujirisk wakati wa kurudi ila wakati wa kwenda book mapema safiri salama.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nitafanya hivo,asanten kwa ushauriNi usafiri wenye mambo mengi....Na mimi namshauri atumie usafiri wa umma tuu.
Hii ya zamani ameona sehemumnzazidi kutuchanganya. si mmesema null imeondolewa[emoji134]