Ni kweli mkuu,ila cha kushangaza kuna mtu humu anadanganya wenzie eti hivyo vitu sio muhimu, kwake muhimu ni kujibu maswali vizuri tu.Eye contact ni muhimu sana bila kusahau tabasamu, sema usi fake tabasamu na usitabasamuu saaana, na pia gesture ni muhimu.
Ndo naona hapa kwenye hizo website,kuna nondo hatarUnaweza kuyagoogle tu hayo mkuu.halafu pitia website za Brela na TIC,huwa kuna vimaswali vinatoka sana humo.
Komaa mkuuNdo naona hapa kwenye hizo website,kuna nondo hatar
Kuna vitu vingi sana, kuanzia unapoingia,unavyokaa/Ukaaji wako,smile,eye contact, fidgeting ambalo ni kosa so many small technical issuesNi kweli mkuu,ila cha kushangaza kuna mtu humu anadanganya wenzie eti hivyo vitu sio muhimu, kwake muhimu ni kujibu maswali vizuri tu.
Huu uzi nadhani ni wa kuwasaidia watu kufanikiwa,sio kudanganyana.
Fanyia kazi unayoambiwa, ur so luck myfriend kupata izi hint 1 & 2, wakat wa oral yangu nilikua sijui atakama uu uzi una exist kimsingi nilijiandaa na wht is ur weakness,strength, after five yrs whr do u see urself and nilikua sijui ata kuna maswali mangapi, ila nilichokutana nacho humo ndani sio pouwa ila nilipambana, kuna differnce kiasi kati oral za psrs na private. Imani yangu ni kuwa ukiwa na confidence basi vingine vyote vita fall in line, jiamini na ujiandae, mungu yu pamoja nawe.Ooh sio mbaya,asante mkuu
Hivi hizo oral inteview unakuwa umekaa au umesimama kama uko kwenye bongostar search.Kuna vitu vingi sana, kuanzia unapoingia,unavyokaa/Ukaaji wako,smile,eye contact, fidgeting ambalo ni kosa so many small technical issues
Sure mkuu,kuna watu huwa hawako serious kabisa,kuna mtu siku hiyo kaitwa aingie kwenye chumba cha usaili kaenda huku anatafuna Big G,mpaka yule mzee aliyekua anaita watu akamstua ndio jamaa akaitema.Kuna vitu vingi sana, kuanzia unapoingia,unavyokaa/Ukaaji wako,smile,eye contact, fidgeting ambalo ni kosa so many small technical issues
Mkuu,hapa pia nimekumbuka lingine,waliuliza mention 5 qualities of public servant.Nilifanya interview ya hiyo kada 2016.
Maswali ninayoyakumbuka ya oral.
1.Mention 5 procedures za mtu kupata business licence.
2.types of business operations na kuzielezea
3.measures to be implemented in order to make people to pay for their expired business license.
4.responsibilities of Trade officer.
Yalikua 7 hayo mengine nimeyasahau
Nadhani hapo unaenda direct tu kwenye education background coz ndicho wanachokitaka.Hvi unapoulizwa tell us about educational background...inakuwajibisha kutaja working experience yako?au utataja tu info concerning your education?
Kada husikaKila saa maswali mapya yananijia kwa head,naomba kuuliza jamani msinichoke.
Hivi oral hayo maswali mnayosema wanauliza ya darasani ni kulingana na job description au wanapick random kama ilivo written
Null leo mbn hamna au sio kwa wote?Wakuu c tumekubaliana leo app isome" selected for null, kwa uliopiga oral.
na ile ulioshindwa kufika oral isome
"not selected for oral interview"
Yaaap mkuu, kwako Leo inasomaje..?maana juzi kulikuwa na changes hapa kwenye App hadi watu wakaanza kudataWakuu c tumekubaliana leo app isome" selected for null, kwa uliopiga oral.
na ile ulioshindwa kufika oral isome
"not selected for oral interview"
Mmeiongelea sana wakaona wazid kuwavuruga akil hahhNull leo mbn hamna au sio kwa wote?
Null leo mbn hamna au sio kwa wote?
Ubarikiwe sana bossMkuu,hapa pia nimekumbuka lingine,waliuliza mention 5 qualities of public servant.
Binafsi nilijibu
1.Respect to the laws of the country
2.Providing services equally to all people regardless of their political affiliation
3.Respect to all leaders
4.Not affiliating to any political party.
5.Intergrity
Wewe kapige kwanza Oral haya mambo ya Status bado kwanza😁Mmeiongelea sana wakaona wazid kuwavuruga akil hahh
AppWewe unacheck kwenye App au web..?
Amen amen mkuu.Fanyia kazi unayoambiwa, ur so luck myfriend kupata izi hint 1 & 2, wakat wa oral yangu nilikua sijui atakama uu uzi una exist kimsingi nilijiandaa na wht is ur weakness,strength, after five yrs whr do u see urself and nilikua sijui ata kuna maswali mangapi, ila nilichokutana nacho humo ndani sio pouwa ila nilipambana, kuna differnce kiasi kati oral za psrs na private. Imani yangu ni kuwa ukiwa na confidence basi vingine vyote vita fall in line, jiamini na ujiandae, mungu yu pamoja nawe.