Kabisa,kwanza asijitie unyonge mana pdf haijatoka.Mungu ana miujiza yake bwana,unaweza andikiwa hata FAILED kabisa[emoji23] kwenye status na pdf ikatoka umo.Kabisa kwasababu sisi tunapanga na mwenyezi Mungu anapanga ila alipangalo Mwenyezi Mungu ndio lenye kheri zaidi
Ckuhizi naona kama mambo yamebadilika huwezi kugonga mlango pale maana kuna Sekretari pale anakuita then una mkabidhi vyeti wanaingia navyo ndani baada ya Muda ndio unaitwa.Iko hivi ukifika mlangoni usiingie kama chooni we gonga mlango then watakuruhusu uingie,ukiingia pale ndani ya chumba cha usaili,utakuta kuna kiti..wewe cha kwanza ukishafika ndani wasalimie goodmorning/goodafternoon or good evening ladies and gentlemen,kutegemea na wakati zamu yako ilipofikiwa..kisha unawaomba ruhusa ya kukaa,unawauliza hivi May I sit please?then mmoja wao au wote kwa pamoja watakupa ishara ya kukaa,usikimbilie kukaa kabla hujakaribishwa.
Yes juzi kwenye oral ya TRA waliita kwa markswanaendaga kwa mtiririko wa marks, descending order. mwenye marks kubwa anaanza hadi ndogo . matokeo ya written yanatumika mule..
Wewe ni bingwa wa research yaani hapo umesha satisfy moyo wako Mkuu maana hili swali ulikuwa unaliuliza sana hahaha!Sawa Mkuu
Swali gani nikiuliza sana..?Wewe ni bingwa wa research yaani hapo umesha satisfy moyo wako Mkuu maana hili swali ulikuwa unaliuliza sana hahaha!
ulikuwa unauliza je ni lazima kujibu maswali yote?Swali gani nikiuliza
Yaan labda nilikuwa nabase kwenye zile points wanazotaka(5).. yaan kuna swali unaulizwa but kupata zile points 5 zote ndio changamoto.ulikuwa unauliza je ni lazima kujibu maswali yote?
Poti huu ni ufafanuzi au upanuzi? Hahahah!selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.
(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.
(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.
Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
Ilo neno upanuzi🤣🤣🤣🤣 anyway iloilo🤣🤣. Uu ni upanuzi.Poti huu ni ufafanuzi au upanuzi? Hahahah!
Unapanua nini mkuu 🤣🤣Ilo neno upanuzi🤣🤣🤣🤣 anyway iloilo🤣🤣. Uu ni upanuzi.
week ijayo uhamiaji wanaweza fanya yao luteni.mi nadhani waliopata ajira kwa mfumo huu wa kanzidata waje watupe muongozo zaidi,ikiwemo status zao zilikua zinasomaje. aiseeh hkuna kitu kizuri kama kuwa kwenye system ya gavoo
Wote tuendelee kusubiri mkeka wa placementKuna watu status zinasomq not selected for null na oral washafanya wanasubiri pdf/placement hii imekaaje
Mkuu,hapa pia nimekumbuka lingine,waliuliza mention 5 qualities of public servant.
Binafsi nilijibu
1.Respect to the laws of the country
2.Providing services equally to all people regardless of their political affiliation
3.Respect to all leaders
4.Not affiliating to any political party.
5.Intergrity
kwa upanuzi hu, naomba psrs wanirudishie null yangu walioiondoa juzi[emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732]selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.
(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.
(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.
Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
Nawasubiri kwa hamu mkuu,nimepauka balaaweek ijayo uhamiaji wanaweza fanya yao luteni.