mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.
(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.
(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.
Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
We Jiandae na Maswali haya Mavazi usiumize Kichwa sn cha Msingi vaa kiheshima tu hata iwe Suluari jitahid iweze kutafsiri heshima kwenye Muonekano wako.Yan sina sket ndefu hata "moya",halafu mda sasa wa kutafta sket yan ndo shida. Wish i knew earlier,but wadau wamesema suruali sio mbaya mrad isibane
Ndo inamaana gn?
Null zipo tu tena snkama wamefanya hivyo ni bora zaidi. kwaiyo sasa hivi hakuna null tena ?
zichemsheni mzinywee supuNull zipo tu tena sn
Subra ndo kilakitu kaka. Anza kutafuta pumzi.Nawasubiri kwa hamu mkuu,nimepauka balaa
Zipo mbn Mie ipo NullNull leo mbn hamna au sio kwa wote?
OkayyyWe Jiandae na Maswali haya Mavazi usiumize Kichwa sn cha Msingi vaa kiheshima tu hata iwe Suluari jitahid iweze kutafsiri heshima kwenye Muonekano wako.
Cha Muhimu uwe vizuri tu kwenye kujibu Maswali Yao.
selected for null "" null"" ni sawa na kitu ambacho hakipo, au unaweza sema bado papo wazi hapaja jazwa. Au ""void"" so it means ukiwa selected for null umechaguliwa but kwakua ni null "" hatima yako haijulikani"" so either
(A) ukifanya vizuri sana kwenye oral ""null"" yako itakupeleka kwenye taasis uliofanyiwa oral.
(B) Wenzako waki perform kuliko ww ""null"" yako, japo umefanya vizur itakupeka data base ambapo utasubir kupangiwa taasis endapo nafasi za course yako zitapatikana.
(C)Pia null yako hatima yake isipo patikana, umekosa taasis uliofanyia oral, nafasi za database zimekua chache kwa course yako kiasi kwamba umemaliza mda wa mwaka mmoja hujapangiwa taasis kutoka database,""null"" yako ina expire na unakua baba jeni bye bye.
Note
Ni mawazo yangu na sio sheria.
Ebu tuacheni Hz habari Kwan kuna SELECTED nyeusi au rangi nyingneUkiandikiwa selected ya kijani inamaana umefaulu oral interview?
Okayyy
Thank u champSubra ndo kilakitu kaka. Anza kutafuta pumzi.
mwenye flash yke kesha eka mkeka wahi website [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Thank u champ
Unaleta Makasiriko na PDF inatoka Week ya Valentine.zichemsheni mzinywee supu
Mkeka gani tena acha tulale kwa amanimwenye flash yke kesha eka mkeka wahi website [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatzo ni null.Unaleta Makasiriko na PDF inatoka Week ya Valentine.
Si tumeshakubaliana hayana Mchango wowote kwenye PDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatzo ni null.
mbona hakuna mkeka mkuumwenye flash yke kesha eka mkeka wahi website [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]