Basi tuwekee Madam.. wanasemaga kazi na dawa,, si uweke picha tuone mbona ni easy tu.Sometimes nawaza kwa nini watu uwa wanabisha vitu wanavyoambiwa kwamba vimefanyika kwa mtu, mfano mtu adanganye nina not selected for null ili apate faida gani. Inshort not selected for null zipo vizuri tu na hapo mtu kashafanya oral kwenye app anaandikiwa not selected for null. Sioni ulazima wa kubishana ama kusema mtu anadanganya and all that, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo na sijawahi kuwa fun wa Mr Uongo, so ni kweli not selected for null zipo.
[emoji23][emoji23][emoji23], basi tu, bado huamini tuBasi tuwekee Madam.. wanasemaga kazi na dawa,, si uweke picha tuone mbona ni easy tu.
Weka basi.. kama hauna wewe ni muongo tena itakuwa mambo ya aibu sana Mrembo kama ww kudanganya😂,[emoji23][emoji23][emoji23], basi tu, bado huamini tu
[emoji23]Ebu tuacheni Hz habari Kwan kuna SELECTED nyeusi au rangi nyingne
Weka picha basi.. kama hauna wewe ni muongo tena itakuwa ni jambo la aibu sana Mrembo kama ww kudanganya😂,[emoji23][emoji23][emoji23], basi tu, bado huamini tu
Ni vile tu sipendi ona jinsi watu wanaokuja with this topic ya not selected for null mnavyowanyanyasa na kuwaita waongo, ila mimi nina selected for null kwenye kazi mbili, nina not selected for null kwenye kazi ya NAOT, na oral nlifanya, kama unanifatilia tangu zamani kwenye huu uzi nlishagaelezea what happened siku nafanya oral ya NAOT so was very comfortable. But all in all sijawahi kuwa muhumini wa status, na tangu mwezi wa nane sijui wa saba nliacha kufatilia kabisa sijui niite kuwaza, siku ikitokea nmepata basi itakuwa surprise, maana sio placement wala kuulizia nakaa tu kama vile sijawahi fanya oral yoyote utumishi[emoji23]. Usiku mwemeni jamani nawakaribisha mniungishe bidhaa Valentine is around the corner[emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23], basi tu, bado huamini tu
Nikidanganya kitu ujue nadanganya nkijua positive effects zitakuwa nyingi kuliko negative. Kwa hiyo mimi kama mimi nadanganya kwa faida sio kuwaridhisha watu, being real is my slogan, ata ID yangu sijawahi ficha[emoji4]Weka picha basi.. kama hauna wewe ni muongo tena itakuwa ni jambo la aibu sana Mrembo kama ww kudanganya[emoji23],
Well said mdogo wangu[emoji4]Hizo nafasi nyingine wanazotoa za mafungu mafungu ,haina maana ya kuwa wanasumbua watu kwenda kuwaita huko Dodoma nk , wawe wanachukua kanzi data Tu ,sioni haja ya kutoa ajira 2-3 halafu unakuta mamia ya watu kwenda kuminyana huko ,kama kuna watu wamefanyiwa usahili siku za nyuma na kufaulu oral interview ,wapewe hizo kazi ,
Na kingine kuhusu lile suala la kuziacha taasisi kufanya recruitment , sidhani kama ni busara , tunajua Magumashi na corruption na nepotism iliyopo nchi hii ,hasa public institutions , wakifanya hivyo watu wengi wasio na links za rushwa na upendeleo humo serikalini kazi watazisikilizia kwenye bomba .
Utumishi wana mapungufu ila umesaidia sana kuondoa yale magumashi katika mfumo wa kuajiri public sector , kuna mapungufu bado yapo cha muhimu wawe flexible Tu kuweka mabadiliko yanayowezesha fairness kwa wote katika mchakato wa ajira ,
YesUlifanya Oral interview..?
Mbona nmeelezea kabisa nlifanya oralUlifanya Oral interview..?
Kweli bhana,, sema nilikimbilia tu kucheck picha na kuanza kuquote,, but nimekusoma sana,, hapo inaonesha hawakutaka kukupa hata 50% ya database duuuhMbona nmeelezea kabisa nlifanya oral
Kama stutus zisingekuwa na maana zisingekuwepo kuna wakati watu wanapata update hata kabla ya ya pdf kutoka,, Mkuu unapomaliza oral itakuandikia Selected for oral na number yako pale itakaa hiyo kwa muda wanaojua wao kisha itakuja SHORTLISTED (hiyo huwa haikai kwa muda mrefu inamanisha umefika marks zinazotakiwa ukikosa nafasi ujue utabaki kanzi data kulingana na ushindani wa nafasi ) Ikiwa NOT SHORTLISTED (Hukufika marks hitajika katika oral )Mwifwa Ukiandikiwa selected ya kijani inamaana umefaulu oral interview?
Haya wale mkiobisha kuwa hakuna "Not selected for null" baada ya Oral Madam Maryjuan hapo juu katusaidia, nilichogundua kuwa zipo tena nyingi tu Ila watu wanaona jau kuweka humu ndo tunaishia kubishana kama vile hahahahaha😂😂
Ni vile tu sipendi ona jinsi watu wanaokuja with this topic ya not selected for null mnavyowanyanyasa na kuwaita waongo, ila mimi nina selected for null kwenye kazi mbili, nina not selected for null kwenye kazi ya NAOT, na oral nlifanya, kama unanifatilia tangu zamani kwenye huu uzi nlishagaelezea what happened siku nafanya oral ya NAOT so was very comfortable. But all in all sijawahi kuwa muhumini wa status, na tangu mwezi wa nane sijui wa saba nliacha kufatilia kabisa sijui niite kuwaza, siku ikitokea nmepata basi itakuwa surprise, maana sio placement wala kuulizia nakaa tu kama vile sijawahi fanya oral yoyote utumishi. Usiku mwemeni jamani nawakaribisha mniungishe bidhaa Valentine is around the corner View attachment 2512068
Yeah hizo zipo mi mwenyewe ninayo hiyo hata ile tamaa ya pdf imetoka Yani , not selected afu uwepo ktk pdf wacha tusubiri miujizaHaya wale mkiobisha kuwa hakuna "Not selected for null" baada ya Oral Madam Maryjuan hapo juu katusaidia, nilichogundua kuwa zipo tena nyingi tu Ila watu wanaona jau kuweka humu ndo tunaishia kubishana kama vile hahahahaha😂😂
Mimi nakukumbuka mno hujawahi kuwa mdau wa stutus ila umeshaona shuhuda nyingi na hiyo Not selected for Null ndiyo huwa NOT SHORTLISTED kwenye webNi vile tu sipendi ona jinsi watu wanaokuja with this topic ya not selected for null mnavyowanyanyasa na kuwaita waongo, ila mimi nina selected for null kwenye kazi mbili, nina not selected for null kwenye kazi ya NAOT, na oral nlifanya, kama unanifatilia tangu zamani kwenye huu uzi nlishagaelezea what happened siku nafanya oral ya NAOT so was very comfortable. But all in all sijawahi kuwa muhumini wa status, na tangu mwezi wa nane sijui wa saba nliacha kufatilia kabisa sijui niite kuwaza, siku ikitokea nmepata basi itakuwa surprise, maana sio placement wala kuulizia nakaa tu kama vile sijawahi fanya oral yoyote utumishi[emoji23]. Usiku mwemeni jamani nawakaribisha mniungishe bidhaa Valentine is around the corner[emoji3059]View attachment 2512068
Yeah hizo zipo mi mwenyewe ninayo hiyo hata ile tamaa ya pdf imetoka Yani , not selected afu uwepo ktk pdf wacha tusubiri miujiza
baada ya kupiga oral ??Na pia niliwahi screen short ya mdau not shortlisted kwe web watu hawasemi humu zipo nyingi tu tupambaneni jamani