Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 251
- 665
Hata nyie za kwenu kabla ya PDF kutoka status ilibadilika kutoka kwenye selected for null kwenda selected for practical. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja akaniambia kuwa selected for practical means umekuwa selected kwenda kwenye training kabla ya kuanza kazi. Ukisema kuwa status hazina maana hautakuwa sahihi kwa sababu mbona hizi za MDA na LGA tulianza kwanza kuangalia status kabla matokeo hayajatoka. Kama status hazina maana niletee mtu ambae kwenye hizi za MDA na LGA aliandikiwa not selected kwenye app halafu kwenye pdf ameandikiwa selected?. Tukubali kuwa sasa hivi utumishi wanajitahidi kutoa majibu mapema kabla ya kuyaweka kwenye pdf. Inaonekana zoezi la kusahihisha linakuwaga mapema ila issue ya protocal inachelewesha. So may be wanataka kutumia status ili kuwapa watu muda wa kujiandaa mapemaSikuwahi kuwa muumini wa status na sikuwahi kuangalia status yangu tangu nilipofanya oral. Nilikuja kuiangalia baada ya kuona jina langu kwenye placement na nikakuta imeandikwa SELECTED FOR ORAL interview number ______
Kwa hiyo sijui kama ilikuwa inabadilika badilika au la.
Kwa nini nilichukua uamuzi huo? kwa sababu haijawahi kuthibitika kuwa baada ya oral majibu ya kupata nafasi yaaweza kujulikana kupitia status, na hadi sasa hili bado halijathibitika.
Pia endapo kama status inatoa majibu ya kufaulu Oral, PSRS wangekuwa wanatujulisha kutembelea akaunti zetu na kuona hayo majibu.
Ikumbwe kuwa kipindi cha nyuma wakati PSRS walipoanza kutumia huu mfumo wa Online(Ajira portal) walikuwa wanatoa tangazo kwenye website yao kuwa Placement zimetoka na kusema wahusika watembelee website kwenye section ya placement ili kuona majina yao.
Sasa kama status zingekuwa zinatoa majibu ya Oral wangekuwa wanatuambia tuangalie akaunti zetu na kuona hayo majibu.
Kila siku huwa mnajadili mambo ya status ila huwa nawaangalia tu na kulike comments zenu bila kuwavuruga maana mlishachagua hilo na mimi nilishachagua kutozifuatilia isipokuwa PDF pekee ndiyo yenye majibu sahihi ya Oral.
Suala la status tunalizungumzia baada ya Oral na majibu ya placement(kupata nafasi ya kazi).Hata nyie za kwenu kabla ya PDF kutoka status ilibadilika kutoka kwenye selected for null kwenda selected for practical. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja akaniambia kuwa selected for practical means umekuwa selected kwenda kwenye training kabla ya kuanza kazi. Ukisema kuwa status hazina maana hautakuwa sahihi kwa sababu mbona hizi za MDA na LGA tulianza kwanza kuangalia status kabla matokeo hayajatoka. Kama status hazina maana niletee mtu ambae kwenye hizi za MDA na LGA aliandikiwa not selected kwenye app halafu kwenye pdf ameandikiwa selected?. Tukubali kuwa sasa hivi utumishi wanajitahidi kutoa majibu mapema kabla ya kuyaweka kwenye pdf. Inaonekana zoezi la kusahihisha linakuwaga mapema ila issue ya protocal inachelewesha. So may be wanataka kutumia status ili kuwapa watu muda wa kujiandaa mapema
Nikupe ukweli gani kaka wakati nimekwambia tu ni mtu nilimsikia anasema, sina proof yoyote. So i stand to be correctedSuala la status tunalizungumzia baada ya Oral na majibu ya placement(kupata nafasi ya kazi).
Hilo la baada ya written kwenda Oral linajulikana na huwa ni sahihi.
Sasa naona umeleta jambo lingine jipya pia, kwamba ukiona selected for Practical baada ya Oral ujue kuwa umechaguliwa kwenda training kabla ya kuanza kazi? Hebu nipe ukweli juu ya hili
Sio kweli mkuu hilo unalolisema practical ni kwa watu wenye saili 3...wrttn,prac, and oralNikupe ukweli gani kaka wakati nimekwambia tu ni mtu nilimsikia anasema, sina proof yoyote. So i stand to be corrected
umeiona kwa account yako, na ulipiga oral mkuu?Ni kweli kabisa na mimi leo nimeiona.
Sawa kama ni hivyo lakini bado ina maana kwetu. Ina maana mpaka naandikiwa (japo ni kimakosa) kwenda practical means hatua ya oral nimefanya vizuri kiasi cha kuniwezesha kwenda hatua inayofuata. Naamini kuna ambao hawapiti kwenda hatua ya practicalSio kweli mkuu hilo unalolisema practical ni kwa watu wenye saili 3...wrttn,prac, and oral
mm nilikua na saili tatu za moto; written,prac na oral. ila status kwenye app na web zote zinasoma selected for oral interview na tokea nimalze oral ni mwezi wa pili sasa unakaribia kuishia.Sio kweli mkuu hilo unalolisema practical ni kwa watu wenye saili 3...wrttn,prac, and oral
Good subria pdf mwambamm nilikua na saili tatu za moto; written,prac na oral. ila status kwenye app na web zote zinasoma selected for oral interview na tokea nimalze oral ni mwezi wa pili sasa unakaribia kuishia.
iyo selected for null ndo sionii tena tokea juz kati..Good subria pdf mwamba
Hapo mwamba atapata mrija wa asali?Good subria pdf mwamba
Sitamani kumuunga Mkono Mshasha wane lkn kuna muda km anataka kuingia kwenye Point ya Msingi lkn anatoka Kwa kusema NILIMSIKIA MTU baadae PDF ukitoka tutatoa UshuhudaSuala la status tunalizungumzia baada ya Oral na majibu ya placement(kupata nafasi ya kazi).
Hilo la baada ya written kwenda Oral linajulikana na huwa ni sahihi.
Sasa naona umeleta jambo lingine jipya pia, kwamba ukiona selected for Practical baada ya Oral ujue kuwa umechaguliwa kwenda training kabla ya kuanza kazi? Hebu nipe ukweli juu ya hili
Dah pdf inasubiriwa kinouma noma matumiz ya dando yameongezeka ghaflaGood subria pdf mwamba
Usiwaze wait for pdf mambo yatkua mazuriiyo selected for null ndo sionii tena tokea juz kati..
ππππNyie wenye selected for null mnasunbua asee, mngejua ukweli mngetulia tuuu.πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Na ukweli ushawapa kwenye upanuzi wa hoja yako.Nyie wenye selected for null mnasunbua asee, mngejua ukweli mngetulia tuuu.[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kikubwa ni subra pdf itatoa taswira halisi, pengine sasa naona kama mmeshatawanywa maana kuna:-Kuna watu walishakuwa na selected for null, kama nyie, na bado wali lia[emoji26][emoji26][emoji26][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vijana karibu wote humu leo wamekubaliana status zina maana, wachache hawajakubali hilo but subir siku kadhaa kutoka leo izi kauli utaziona, karibu wote watakua wanazipinga status.Na ukweli ushawapa kwenye upanuzi wa hoja yako.