HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
waziri kasema wanaajiri 1760 kutoka kwenye database mwezi hu wa pili..

sasa ninaswali, utajuaje upo database? je ni selected for oral interview au selected for null.
Maisha ni kupata na kukosa so ukikosa pia usishangae
 
Ila nyie hii dunia sio fair emagin bongo hii hii kunamtu analipwa mil 20 kwa mwezi at the same tume kuna tunaozongania kupata ajirawalau hata hio laki… aisee
 
Ila nyie hii dunia sio fair emagin bongo hii hii kunamtu analipwa mil 20 kwa mwezi at the same tume kuna tunaozongania kupata ajirawalau hata hio laki… aisee
Kuna wahaya wanachukua 36M bank uko kwa mwezi na huyu ni average joe kuna wanaopata zaidi, tulienda kufanya presentation anakuuliza live hivi wewe unapata mshahara kiasi gani mzee baba hata 5M hauchukui can you imagine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…