Ajira zote si zinapitia mchakato mmoja sa kwa nini taasisi nyingine znawahi kutoa placement hata baada ya mwezi au wiki tatu na nyingine znachelew znachukua miezi mitatu ?
Mimi Hapo Sina majibu.Kwa kuwa nami ni muombaji wa Ajira kama wewe.Maana hata Mimi nilijua mkiitwa Usaili,mkafanya usaili basi Hapo ni wiki mbili tu au labda mwezi mtaanza kuitwa.Kumbe vice versa....
Unayojiuliza hata Mimi najiuliza.Nadhani ungewauliza PSRS Kwa kuwa wapo humu ndani.
Wale wa selected for Oral je?Kila alie report kwamba alipata placement app ilionesha ""selected for null"", nazani unatakiwa kuwa mpole unaweza toka kwenye mkeka/ pdf na selected for practical na ukawa exceptional au first scenario kuwai kutokea, au IT akafanya yake ukarud kuwa selected for null ukapata placement.
Kikubwa tufungue mioyo, tujiandae kupokea results za kila aina.
Selected for oral si unaenda kufanya oral ndugu.Wale wa selected for Oral je?
Sasa ile wiki ambayo haijakaa kipdf ndo ambayo sasa pdf inatoka kwel😂Mbna hii wiki haijakalia ki pdf !!🤔
Umeshafanya oral na ikabaki Ivo baada ya oralSelected for oral si unaenda kufanya oral ndugu.
Au umeshafanya oral?
Hilo sijui boss Mimi mwenyewe ilianza Shortlisted then selected for null then .... then Selected for oralUmeshafanya oral na ikabaki Ivo baada ya oral
hamna PDF jmn subirini march ,Wiki inayofata hio ( next week) ndo yenyewe kwny tarehe 20 hapo naana kna zile siku saba za kufata barua inamalizia tarehe 27 , mwanzo wa mwez wa 3 ndo kuripoti kwenyewe .
Source ~ believe me [emoji16]
Ulimaanisha nini hapa?Kila alie report kwamba alipata placement app ilionesha ""selected for null"", nazani unatakiwa kuwa mpole unaweza toka kwenye mkeka/ pdf na selected for practical na ukawa exceptional au first scenario kuwai kutokea, au IT akafanya yake ukarud kuwa selected for null ukapata placement.
Kikubwa tufungue mioyo, tujiandae kupokea results za kila aina.
Ikitoka pdf source yako usiiiamini tenahamna PDF jmn subirini march ,
Umeongea la maana sana,
Ina maana kwenye database Yao hakuna software developer kweli
Inaeza ikawa mkataba wa mwaka ila ukiisha una renew kama wanavyofanyaga Tanroads au TARURA. Wapo wadau wa mkataba washafanya zaidi ya miaka 10
Nafikri kutakua na namna wanatreat hzi kz za mkataba
Kwanini wasingechukua intern?? Kupiga mwaka mmoja tena kurudi mtaani hii sio fair kabisa