HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata siogopi mkuu,am just curious plus sina experience yyt ya oral so am trynna gain much info as i can ili nisimess up
 
Mwenyewe namshangaa, naona kama kwa hili wenge alilo nalo,tumuombee tu kwa Mungu atoboe.keshapewa ushauri wa kila aina huko juu lakini bado haelewi.
 
Niliona jana wamejibu kwenye official account yao ya IG kuwa soon wanayatoa and wakaandika tujiandae😂
 
Hilo neno soon lisikupe matumaini sana kuwa Leo au kesho tayari,, ni kawaida Yao kujibu hvyo..
Unadhani watasemaje ili wasikuweke kwenye wimbi la mawazo...?

Issue kubwa, we Endelea kuwa mvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…