New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 176
- 567
niligraduate 2014 lakini ajira zetu hazitangazwi sanaSerikalini uzee ni above 35yrs na ndiyo maana hata mikopo ya vijana hutolewa mwisho miaka 35. Kama upo above 35 PSRS wakupe tuu hitaji la moyo wako, sisi wa under 25 tunawezasubiria subiria huku tukiwatapeli halmashauri pesa za mikopo ya vijana
Daah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwaHii inatokea sn nakumbuka Kwenye Written Interview sikujibu Swali Moja. Na nikajitoa kwenye Lists ya tunaoweza kuwakanda PSRS hata matokeo Sikuyawaza sn. Lkn Mungu akatenda Miujiza same scenario kwenye ORAL ss sijui kitatokea nini Swali la kwanza niliulizwa sikuweza kuelewa linataka nini niliomba warudie kusoma mpk mara 3 [emoji28][emoji28] arafu nikajikuta najibu bila Kujua najibu kitu gani sema nasubiri Miracles tu hapa
Mungu akuongoze tu Bro huo Mwaka nilikuwa Form 5niligraduate 2014 lakini ajira zetu hazitangazwi sana
[emoji1][emoji1][emoji1]Nimezeeka kaka wanaangalia kigezo cha ku-consider graduates wa zamani?Mungu akuongoze tu Bro huo Mwaka nilikuwa Form 5
Usiwe na was was mzee serklini hakuna hiko kigezo as long ww hujafika 45 una haki ya kuajiriwa[emoji1][emoji1][emoji1]Nimezeeka kaka wanaangalia kigezo cha ku-consider graduates wa zamani?
Na ikiwa umefngana na vijana kwa marks wanakupea wewe mzee according to muongozo waoUsiwe na was was mzee serklini hakuna hiko kigezo as long ww hujafika 45 una haki ya kuajiriwa
Kawaida Mi nachokiamin nikujitahidi kujibu Maswali yote Kwa namna unavyoelewa by de way Interview ilikuwa ni ya Kada yangu kidogo kuelewa Swali lilikuwa linataka nini ilikuwa kwa Asilimia kubwa sn sema kufikisha Points 5 ndy muziki nilioshindwa kuucheza.Daah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwa
wanampa mzee siooNa ikiwa umefngana na vijana kwa marks wanakupea wewe mzee according to muongozo wao
Daaah vijana wangetuacha kwanza tuingie kwenye systemNa ikiwa umefngana na vijana kwa marks wanakupea wewe mzee according to muongozo wao
More aged...a relative to....sio lazima mzee aliezidi umriwanampa mzee sioo
Chukulia kawaida Huwa inatokea kwa wengi tu, ukishatoka mle ndani ndio imetoka hyo.. Ni Maombi tu yatasaidiaDaah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwa
Utaitwa mkuuKawaida Mi nachokiamin nikujitahidi kujibu Maswali yote Kwa namna unavyoelewa by de way Interview ilikuwa ni ya Kada yangu kidogo kuelewa Swali lilikuwa linataka nini ilikuwa kwa Asilimia kubwa sn sema kufikisha Points 5 ndy muziki nilioshindwa kuucheza.
Bt I feeling blessed nahisi Kabisa nipo Kwenye PDF zinazokuja Hapo Soon na hii kutokana na maneno ya PSRS kuwa Ifahamu Kada yako na sio Kukariri
Sina uwakika wanaangalia Uwezo wa Mtu tu[emoji1][emoji1][emoji1]Nimezeeka kaka wanaangalia kigezo cha ku-consider graduates wa zamani?
Insha'Allah tuendelee kuombeana tuUtaitwa mkuu
Kada gani mkuu,[emoji1][emoji1][emoji1]Nimezeeka kaka wanaangalia kigezo cha ku-consider graduates wa zamani?
Kwa kwel Mungu humpa amtakae na ana mnyima amtakaye tumshukuru kwa kila jamboHuwa naamini kabla hatujaingia kwenye saili, tunaanza kuaply, kisha kuwa shortlisted, kufika eneo la usaili, kufaulu written na kufanya oral hizi hatua zote zina baraka zake tofautitofauti na kila mja sisi sote kuna mahala tumepangiwa tutafanya kazi kwa wakati fulani, kwahiyo tushukuru kwa kila hatua na Mungu ni mwema mpk tumefikia hatua hizo na kila hatua Mungu anampango wake kwetu tuendelee kuamini siku yetu yaja nasi kulitumikia taifa letu pendwa.
AmenHuwa naamini kabla hatujaingia kwenye saili, tunaanza kuaply, kisha kuwa shortlisted, kufika eneo la usaili, kufaulu written na kufanya oral hizi hatua zote zina baraka zake tofautitofauti na kila mja sisi sote kuna mahala tumepangiwa tutafanya kazi kwa wakati fulani, kwahiyo tushukuru kwa kila hatua na Mungu ni mwema mpk tumefikia hatua hizo na kila hatua Mungu anampango wake kwetu tuendelee kuamini siku yetu yaja nasi kulitumikia taifa letu pendwa.
Mkuu unaweza kugusia kidgo hayo maswali yalikuwaje?Niwe muwazi
leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1
Kama nikijirate
Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)
Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]
Nimekandwa swali moja
it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.