HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole na hongera ulikuwa kada gani?
Tunaomba utume maswali uliyoulizwa kwenye oral
 

Usiwaze kiongozii
Amini umepitaa
Mimi nliingia nkajibu swali la kwanza fresh then kwetu najua walituwekea swali la pili gumuu na kusudi kutuvuruga maana lilikuwa out of our position tuliyoomba ila nliwaambia tu waskip to next question watarudia, hayo matatu yaliyobaki yalienda tena kwa kurelax then wakarudi pale nkawapigia point 3 za kuunga out of 4. Sasa ngekazania kukumbuka point za hilo swali ndo mwanzo wa kupanic na huku kwingine pia ndo unavurundaa.

As long as umeongea hujaacha swali ni better kuliko kutojibu kabisa watakuconsider kuwa hujui. Maajabu yapo pale unapoona hujpiga vzr ila PDF ikaja ukakuta imekubeba
 
Sure kk, km ipo ipo tu,
 
Daah Ahsante sana mkuu lets hope so
 
Placements ni Kesho na Jumatano....
Tujiandae kisaikolojia,kama Taasisi yako au Yangu itakuwa imefikiwa au Bado tutaendelea kuvuta Subra.......
#Mapambano yaendelee
 
Mimi nilianzia kutaja Chuo niliishia Olevel.
 
Hongera sna .ninaomba kujua swali ambalo lipo general ,kada zingne pia waweza ulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…