Kigezo cha umri kinaangaliwa.[emoji1][emoji1][emoji1]Nimezeeka kaka wanaangalia kigezo cha ku-consider graduates wa zamani?
Worry out...hiyo kazi utapata, kila laheri ndugu.Daah pole yani the moment natoka mlango wa panel nikakumbuka majibu ya swali nilokandwa
Mimi Huwa naanzai primary dadeq Hadi chuo kikuu.. kingereza Sina kabisa na hizi hili combi langu na kozi yangu, hata panel inaelewa😂😂Mimi nilianzia kutaja Chuo niliishia Olevel.
Umri sio kumaliza zamani mkuu.Kigezo cha umri kinaangaliwa.
Kama umemaliza zamani, lazima utakuwa na umri mkubwa.
Ukipata tu marks za kufaulu Oral, utakuwa kwenye probability kubwa ya kupata nafasi
Daah, haya makombi magumu magumu shida, kuna mdada huwa tunakutana Kanisani, anapiga ngeli tena ile accent ya scotish kule.Mimi Huwa naanzai primary dadeq Hadi chuo kikuu.. kingereza Sina kabisa na hizi hili combi langu na kozi yangu, hata panel inaelewa😂😂
[emoji23]Daah, haya makombi magumu magumu shida, kuna mdada huwa tunakutana Kanisani, anapiga ngeli tena ile accent ya scotish kule.
Huwa nasema moyoni tu, anipatie hiyo english siku za oral tu, kwakweli yupo fluent...
Madam vip, usaili umekwenda vizuri?.TRA hii ya juz au?
Daaah hvyo.. wenyewe wanaelewa Huwa hatuna maneno mengiDaah, haya makombi magumu magumu shida, kuna mdada huwa tunakutana Kanisani, anapiga ngeli tena ile accent ya scotish kule.
Huwa nasema moyoni tu, anipatie hiyo english siku za oral tu, kwakweli yupo fluent...
Bado dearMadam vip, usaili umekwenda vizuri?.
Serikalini uzee ni above 35yrs na ndiyo maana hata mikopo ya vijana hutolewa mwisho miaka 35. Kama upo above 35 PSRS wakupe tuu hitaji la moyo wako, sisi wa under 25 tunawezasubiria hata miaka 10 huku tukiwatapeli halmashauri pesa za mikopo ya vijana
Kwahiyo kuuliza swali ili kupata knowledge zaidi ya oral interview imekuwa umbea sikuizi?Huyo ni Mmbea mkuu achana nae kabisa[emoji23][emoji23]
Watu mnaulizwa maswali then mnasema hamuwezi ku share ni jinsi gani inaonesha ubinafsi..kwasababu ayo maswali ujaitwa peke yako hio privacy mpaka kwenye maswali..halooo acheni ubinafsi,usitaje kada,tuna swali lililo general tu sio kada yako
Hio ni kazi au maswali...mbona vitu viwili tofauti?? Mpe tu kaziKwani ni lazima? Huyo kijana ana maadili mazuri ningekuwa huko psrs ningemuajiri, humu watu mtaweza kutunza usiri kwenye kazi zenu kweli?
Andaa suti ya kufatia barua hiyo ushapata.Niwe muwazi
leo nimefanya Oral serikalini kwa mara ya 1
Kama nikijirate
Confidence [emoji3581]
Apperance [emoji3581]
(japo sijui kama wanaangalia maana walienda direct kwenye maswali)
Maswali
1[emoji3581]
2[emoji3581]
3[emoji3581]
4 [emoji777]
Nimekandwa swali moja
it was interesting na kama sitapata hii itakuwa mara yangu ya mwisho kufanya Interview za utumishi nimezeeka.
What are the good qualities of a .... Officer II?Hongera sna .ninaomba kujua swali ambalo lipo general ,kada zingne pia waweza ulizwa
Asante sana...God bless u.What are the good qualities of a .... Officer II?
Hili swali ni general, nimeulizwa kwenye oral interview ya leo. Hio desh ni kada yako wewe. Maana sifa ni zile zile za a public servant.
Sawasawa, Mungu ni MwemaWatu wa sheria ,biashara , uchumi na kilimo naona ajira zinatoka sana utumishi , mpambane sasa
Kuna kada nyingine kune specific qualities za hyo post ambazo sio kama zile za public servant.What are the good qualities of a .... Officer II?
Hili swali ni general, nimeulizwa kwenye oral interview ya leo. Hio desh ni kada yako wewe. Maana sifa ni zile zile za a public servant.