Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo watandika kanga mwanapunda apiteSasa hao uvccm ni wakina nani nchi??
wezi wakubwa tu hao
Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!View attachment 2581186
Nakubaliana naww ✔️Uvccm wao kazi yao ni kulamba miguu na kushangilia baada ya kupewa bahasha ya kaki
View attachment 2581189
Hahaha wana post choo cha ufipaNi Aibu Yao Hiyo Report
Hata Chawa Wametaharuki Hawajui Waandike Nini
Hii Nchi ina mamb ya ajabu san mamb ya kitaalam na kielimu ambayo ni reality kwa mujibu wa auditors eti yanapelekwa kwa wanasiasa wajadili 🤣🤣🤣Wanatambua kiwa zile ni audit queries tu, acha mchakato ukamilike. Tuliache bunge lifanye kazi yake.
Otherwise unaweza kuendelea kujifurahisha kwa kujadili vitu ambavyo hauna taarifa kamili, mwisho wa siku unaishia kulalamika kuwa hauoni hatua zilizochukuliwa.
Ile over invoice ya ndege duhAuditing report ni kitu cha kawaida sana kwa nchi au shirika lolote
Auditing report sio kitanzi
Hakuna auditing report isiyo na queries na hizo ndio zinatumika kufanya maboresho na maamuzi mapya
Na huu ujinga ndio unafanya kama Nchi iendelee kutafunwa na mafisadi!! Queries my foot!!Auditing report ni kitu cha kawaida sana kwa nchi au shirika lolote
Auditing report sio kitanzi
Hakuna auditing report isiyo na queries na hizo ndio zinatumika kufanya maboresho na maamuzi mapya
Ile over invoice ya ndege duh
Varation ni kubwa mnooNa ndio faida ya auditing
Ingejulikanaje
Huu ndio upuuzi umekufikisha Taifa hapa, na kwa mtindo huu wa kuwapelekea wanasiasa kujadili mamb ya kitaalam ufisadi hautoisha au kupungua!! Wataenda kusawazisha sawazisha halaf wanasema aaah hawa au huyu ni mwenzetu!! Imeisha ivo!!Wanatambua kiwa zile ni audit queries tu, acha mchakato ukamilike. Tuliache bunge lifanye kazi yake.
Otherwise unaweza kuendelea kujifurahisha kwa kujadili vitu ambavyo hauna taarifa kamili, mwisho wa siku unaishia kulalamika kuwa hauoni hatua zilizochukuliwa.