God is good,
Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida?
Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa!
27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
Mwanzo 5:27
Sasa kama Methusela aliishi miaka 969 tukipewa fursa ya kuishi Kwa miaka hii tutafika?
Kama miaka 25 tu mtu anajinyonga je akipewa 969?
Mtu anamiaka 12 analalamika kuwa Yesu amechelewa!
Watu wengi wameingia kwenye Madeni makubwa Kwa sababu yakutotaka kusubili, unataka usome leo, upate kazi leo, ujenge, ununue gari leo..
My take
Learn to be patient...