Nothing is guarateed in life and everything can change in a blink of an eye. You can be as patient as a diamond; and unfortunately this doesn't guarantee you anything. In some extreme instances, it is better to quit than keep going while knowing that the road you are on won't take you anywhere.Learn to be patient...
Basi tukabali kwamba pesa ndio chanzo ...Maisha ya zamani ni tofauti na Sasa.. matumizi ya pesa yamekuwa makubwa mno katika Kila kitu pesa inahitajika na kinachoumiza pesa yenyewe ni ngumu kuipata kwa Nini vijana wadogo wasikate tamaa
Upoyoyo umezidi mno siku hizi na siku zijazo vijana wengi watakuwa wakitamani kufa kuliko kuishi. Haya mabadiliko ya utamaduni yana taabu zake.God is good,
Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida?
Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa!
27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
Mwanzo 5:27
Sasa kama Methusela aliishi miaka 969 tukipewa fursa ya kuishi Kwa miaka hii tutafika?
Kama miaka 25 tu mtu anajinyonga je akipewa 969?
Mtu anamiaka 12 analalamika kuwa Yesu amechelewa!
Watu wengi wameingia kwenye Madeni makubwa Kwa sababu yakutotaka kusubili, unataka usome leo, upate kazi leo, ujenge, ununue gari leo..
My take
Learn to be patient...
Mkuu umesema ukweli yan kila kitu n pesa saiv.una hela uoi au uwez kuwa na Demu.Maisha ya zamani ni tofauti na Sasa.. matumizi ya pesa yamekuwa makubwa mno katika Kila kitu pesa inahitajika na kinachoumiza pesa yenyewe ni ngumu kuipata kwa Nini vijana wadogo wasikate tamaa
Na hiyo pesa kidogo inayopatikana vijana wanaishia kuihonga malaya na kuinywea pombeMaisha ya zamani ni tofauti na Sasa.. matumizi ya pesa yamekuwa makubwa mno katika Kila kitu pesa inahitajika na kinachoumiza pesa yenyewe ni ngumu kuipata kwa Nini vijana wadogo wasikate tamaa
[emoji7]God is good,