Kwanini uwadhulumu wengine wewe ukidhulumiwa unakuwa mbogo?

Kwanini uwadhulumu wengine wewe ukidhulumiwa unakuwa mbogo?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu.

Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu?

Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali.

Si upotezee tu.
 
Kwani wale aliodhulumu walikatazwa kuwa mbogo?
Hata hao waliodhulumiwa pia wamedhulumu wengine. Bongo kila mtu ni dhulumati na mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa au kudhulumiwa potezea songa mbele faraja inakuja hao waliokudhulumu na kukuibiwa nao watadhulumiwa na kuibiwa na wengine ambao pia watafanywa hivyo hivyo.
 
Tulia wewe dhulumati acha kujustify dhuluma zako hapa, badala ya kulialia jipange kumkabiri huyo mbogo.
 
Mzuka wanajamvi!

Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwa nini usipotezee tu.

Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu?

Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali.
Si upotezee tu.
True tena ndugu ndio wana tabia hiyo!!
 
Tulia wewe dhulumati acha kujustify dhuluma zako hapa, badala ya kulialia jipange kumkabiri huyo mbogo.
IMG_20210704_171159.jpg
 
Hata muuaji anapofiwa hulia, machozi halisi sio bandia.

Hakuna anayependa kutendewa vibaya hata kama yeye ni bingwa wa kuumiza wenzake [emoji23], mwizi akiibiwa atamaindi, muuaji akifiwa nae ataumia, mchawi akirogwa na kikosi cha wachawi wenzake na yeye ataumia [emoji3] mchepukaji akichepukiwa na yeye atalalamika [emoji847]. Ndo binadamu tulivyo, very selfish. Pa kwako panauma, Sasa sijui pa mwenzako yeye hapamuumi [emoji2368]
 
Hapa unajiona umejificha hatari we Mkalidayo mjukuu wa Chief Mangungo !

Your nose structure reveals the whole you!

Mengine tumuachie Mwalimu Kashasha.....

Na hicho kichwa kama eggplant ndio kabisaa!
Mgerasi una mkwara
 
Back
Top Bottom