Hata hao waliodhulumiwa pia wamedhulumu wengine. Bongo kila mtu ni dhulumati na mwizi katika nafasi yake. Ukiibiwa au kudhulumiwa potezea songa mbele faraja inakuja hao waliokudhulumu na kukuibiwa nao watadhulumiwa na kuibiwa na wengine ambao pia watafanywa hivyo hivyo.Kwani wale aliodhulumu walikatazwa kuwa mbogo?
True tena ndugu ndio wana tabia hiyo!!Mzuka wanajamvi!
Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwa nini usipotezee tu.
Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu?
Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali.
Si upotezee tu.
Tulia wewe dhulumati acha kujustify dhuluma zako hapa, badala ya kulialia jipange kumkabiri huyo mbogo.
Hata muuaji anapofiwa hulia, machozi halisi sio bandia.
Mgerasi una mkwaraHapa unajiona umejificha hatari we Mkalidayo mjukuu wa Chief Mangungo !
Your nose structure reveals the whole you!
Mengine tumuachie Mwalimu Kashasha.....
Na hicho kichwa kama eggplant ndio kabisaa!