Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..