Thomas Brown
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 344
- 856
Udsm iondolewe waweke uwanja wandege kweli?Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Nadhani huelewi kuwa wahindi wanahold zaidi ya 70% ya uchumi wa nchi hii na wengi wanaishi IlalaSwali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Ili wapigiwe kelele?Kelele na vurugu ni kwa ajili ya akina kalumekenge na Mwajuma-takomoja.Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Kwanini Kinondoni nzima ni UDSM?Udsm iondolewe waweke uwanja wandege kweli?
Matajiri wa Dar wanaishi wapi??..Ilala iwe middle income halafu kinondoni iwe high income.
MO anakaa Ilala??..Nadhani huelewi kuwa wahindi wanahold zaidi ya 70% ya uchumi wa nchi hii na wengi wanaishi Ilala
Matajiri wa Dar wanaishi wapi??..
Ukiwa katika Ndege juu, ukianza kuangalia nyuma zilizopita pembezoni ya Uwanja unaweza dhani ni kajiji kaliopo tabora kumbe ni Dar es salaam 😁😁Swali kwa watu wa mipango miji. Wilaya mama za mkoa wa Dar Es Salaam zipo tatu;
(1) Kinondoni (high income)
(2) Ilala (middle income)
(3) Temeke (low income)
Kwanini uwanja wa ndege haukujengwa hata huko Mbezi, Boko, Bunju ili iwe rahisi kwa watu wanaomudu gharama za hizo ndege (high income) kuweza kufika uwanjani kwa haraka zaidi na badala yake wakaamua kuuweka kwa walalahoi wa Karakata na Yombo?
ANGALIZO: Sina lengo la kufanyia dhihaka kundi lolote la watu, I'm just asking..
Boko na Bunju kuna majengo yapi marefu mkuu??..Viwanja vya ndege havitakiwi kuwa karibu na majengo marefu .
Ubungo ni KinondoniUbungo ni income gani?
Movement ya kwenda Ikulu na ile ya kwenda airport zinafanana??..masaki, Posta, upanga, mbweni
Hata rais anaishi ilala ikulu ilipo
Unajua maana ya wengi?,au we unadhani MO ndo mhindi mwenye pesa.kwa taarifa yako wahindi wanamuona MO kama mswahili tu.MO anakaa Ilala??..
Ubungo ni wilaya ya Ubungo mkuu, pia Kigamboni ni wilaya ya Kigamboni. Jamaa ametaka income ya Ubungo sasaUbungo ni Kinondoni