Kwanini uwanja wa ndege wa Julius Nyerere haukujengwa maeneo ya watu wa kipato cha juu kama ilivyojengwa Mlimani City Mall?

Pia eneo ulipo uwanja wa ndege ni highland flat plateau yenye urefu mkubwa tambarare tofauti na maeneo mengine ya mji wa dar es salaam yenye jigrafia ya milima
Umemaliza
 
Unajua maana ya wengi?,au we unadhani MO ndo mhindi mwenye pesa.kwa taarifa yako wahindi wanamuona MO kama mswahili tu.
Kama suala ni wengi, higher incomes wengi ni wabantu na wakaishi Wilaya ya Kino..
 
Ubungo ni wilaya ya Ubungo mkuu, pia Kigamboni ni wilaya ya Kigamboni. Jamaa ametaka income ya Ubungo sasa
Wilaya za Ubungo na Kigamboni hizi ni Wilaya za watoto wa 2000
 
Raia ndiyo wamevamia gongo la mboto, ila palikua ni nje ya mji, eneo kubwa na kwa ajili ya shughuli za kijeshi...


Cc: Mahondaw
 
Na hizi takwimu za economy kuwa Kinondoni ni high kuliko ilala ni za miaka gani mkuu?
Highest income earners wanaishi wapi mkuu kama sio Oyster Bay, Masaki, Mbezi Beach, Ununio, Mbweni, Kamwe, Gomba, Mbezi Luis.

Na hizo zote zipo katika Wilaya gani kama sio Kinondoni??..
 
Mkuu utakuwa uelewa wako ni mdogo. Kiwanja cha ndege hakijengwi popote pale. Kuna sehemu maalum ambazo wataalam wa anga hujenga viwanja.
 
Wamesema hawakutaka kuwapigia makelele wazee vigogo.
Hii point ya kweli kabisa. Ama wazee wenyewe walikataa hizo kelele za midege, pia airport sio sehemu salama wakati wa machafuko na sio sehemu tulivu kwa sababu ya mishe nyingi
 
Hii point ya kweli kabisa. Ama wazee wenyewe walikataa hizo kelele za midege, pia airport sio sehemu salama wakati wa machafuko na sio sehemu tulivu kwa sababu ya mishe nyingi
Hapo mlimani city,sinza palikua majaruba tu,chuo kikuu simba walikua kibao wakati uwanja unajengwa
 
Unazungumzia walipwa mshahara!?..mlipwa mshahara hawezi kuwa high income earner
Anayelipwa 5 millions per month na anayeingiza 3 millions per month kama faida ya biashara zake, ni nani higher income earner?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…