Kwanini uzalendo wa viongozi wengi Tanzania upo tumboni?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Kwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo

Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa

Siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo

Nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi

Nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu

Nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu

Kwanini viongozi wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
 
siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo

nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi

nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu

nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu

kwanini viongoz wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
Hayo ni madhara ya mfumo mbovu wa ccm wa kuwakumbatiq mafisadi
 
Screenshot_20260514-220817~2.png
 
Kwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo

Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa

Siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo

Nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi

Nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu

nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu

kwanini viongoz wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
Mfumo
 
Kwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo

Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa

Siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo

Nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi

Nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu

Nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu

Kwanini viongozi wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
Hahah elezea Tumboni ni wapi?
 
Back
Top Bottom