Hayo ni madhara ya mfumo mbovu wa ccm wa kuwakumbatiq mafisadiKwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo
Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa
siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo
nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi
nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu
nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu
kwanini viongoz wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
MfumoKwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo
Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa
Siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo
Nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi
Nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu
nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu
kwanini viongoz wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?
Hahah elezea Tumboni ni wapi?Kwenye hadhara utamsikia anauchungu sana na maisha ya watu na ni mzalendo haswa na wana sisitiza wananchi wawe wazalendo
Lakini kwenye vikao vyao nyuma ya panzia uzalendo hakuna
kuna siku nishawahi mshuhudia kiongozi fulani kwenye mkutano anakemea sana rushwa
mpaka na mimi mr pipa nikatokwa na machozi kwa zile point alizokuwa akitoa
Siku naenda ofisini kwake nimpe pongezi kwa zile nondo
Nakuta ndie wa kwanza kutamka mkono mtupu haurambwi
Nilimbebea beberu linalonukia ukubwa kwaajili ya kumpa kama pongezi nikaamua kurudi na mbuzi wangu
Nikapitia bar iliyo karibu tukamchinja nikamla na wana maana ushenzi mtu
Kwanini viongozi wetu wanakuwa na tabia ambazo hazina uhalisia?