damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Kwa kweli Ni SHIDA, angalia anavyopata wateja, wake Kwa waume. Watu wapo desperate sanawamuone Dr Mwaka, naamini watampenda!!
Ni kweli Ndugu, sielewi Kwa nini!Wote wana matatizo ke Na me.
Funguka kidogo, Kwa faida ya wengine..!Tatizo mfumo wa maisha mkuu...
Basi nadhani speed yake itakuwa Ni ya 5GNadhani Mungu anaanza kupunguza hiki kiumbe dunia maana maasi yamezidi
Kwanza ni kutokana na sumu za vyakula tunazokula huchangia matatizo kwa wanaume mbegu kutokuwa na nguvu na kwa wanawake pia, kuna sumu kwenye makuku, mayai, sosage na korokoro nyingi sana watu wanaiga uzungu ila uzungu wa wenzenu grade A, sie tunakula Grade F, Ukiangalia sasa hivi mpaka mboga za majani mpaka matunda nazo zinaoteshwa na kutiwa mambolea yasioeleweka kama wanakuza makuku vile.Hali zenu wadau,
Hakuna asiye jua kuwa siku hizi kushika mimba Ni issue, wanawake wamekuwa wakihangaika mahospitalini na Kwa waganga yote hii ili kunusuru ndoa zao Kwa kuwapa wenza wao watoto. Kila kona watu wanalia, tumekosea wapi? Tufanyeje kurekebisha hili? Na Ni akina Nani Ni mabingwa Wa matatizo Haya( hii itawasaidia kuwapa solution wale wenye matatizo Haya)
Nawasilisha kwenu.
Naona kuna ukweli hapa ambao Ni ngumu kumesaKwanza ni kutokana na sumu za vyakula tunazokula huchangia matatizo kwa wanaume mbegu kutokuwa na nguvu na kwa wanawake pia, kuna sumu kwenye makuku, mayai, sosage na korokoro nyingi sana watu wanaiga uzungu ila uzungu wa wenzenu grade A, sie tunakula Grade F, Ukiangalia sasa hivi mpaka mboga za majani mpaka matunda nazo zinaoteshwa na kutiwa mambolea yasioeleweka kama wanakuza makuku vile.
Kingine hali unavyoiona sasa hivi tazidi mara dufu, ni kutokanaa na kukithiri kwa utoaji wa mimba, na watoto wadogo ambao hawajazaa kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwahiyo wakija kuolewa ndo mabalaa, ukiacha wale walioroga wapate huyo mume kwa maagano ha ha ha wanalishwa mavitu hawajui wameingia maagano gnai na mganga na majini yao.
Mkitaka kupata watoto katafuteni wake vijijini wenyewe wale wakitiwa mimba wanajizalia tu, wachache sana umsikie ameitoa, na mavyakula yao fresh toka shamba, kule vijijini husikii hizi kesi ni huku mjini tu kujidai utandawazi na masumu ya supermarket. mwisho wa siku mnatoa mbegu dhaifu.
Nahisi hata Haya madawa pia yanachangia kuharibu huh mfumoKuna tangazo la uzazi wa mpango linalohamasisha wasichana wadogo kutumia uzazi wa mpango. Hii ni kujenga au kubomoa?
Unaona sasa unavyo anza kujamba Kwa sauti kubwa mbele za watoto? [emoji15] endelea kuropoka uone ninavyojua kukukosea adabu!ni kwasababu ya avatar yako inayochefua
Tatizo watu hawapo wawazi juu ya Haya makitu Ndugu yangu, na sijui madokta kwetu wanakaririshwa?Mkuu damtanzania hizo dawa ni majanga, hazilipi hata ukipewa na hela juu. Zimeharibu afya za wanawake wengi sana lakini tunaendelea kuzitumia.