Kwanza ni kutokana na sumu za vyakula tunazokula huchangia matatizo kwa wanaume mbegu kutokuwa na nguvu na kwa wanawake pia, kuna sumu kwenye makuku, mayai, sosage na korokoro nyingi sana watu wanaiga uzungu ila uzungu wa wenzenu grade A, sie tunakula Grade F, Ukiangalia sasa hivi mpaka mboga za majani mpaka matunda nazo zinaoteshwa na kutiwa mambolea yasioeleweka kama wanakuza makuku vile.
Kingine hali unavyoiona sasa hivi tazidi mara dufu, ni kutokanaa na kukithiri kwa utoaji wa mimba, na watoto wadogo ambao hawajazaa kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwahiyo wakija kuolewa ndo mabalaa, ukiacha wale walioroga wapate huyo mume kwa maagano ha ha ha wanalishwa mavitu hawajui wameingia maagano gnai na mganga na majini yao.
Mkitaka kupata watoto katafuteni wake vijijini wenyewe wale wakitiwa mimba wanajizalia tu, wachache sana umsikie ameitoa, na mavyakula yao fresh toka shamba, kule vijijini husikii hizi kesi ni huku mjini tu kujidai utandawazi na masumu ya supermarket. mwisho wa siku mnatoa mbegu dhaifu.