Kwanini uzazi umekuwa wa shida hivi? Na nini kifanyike?

Nipe mfano wa hizo grade wanazokula wazungu
 
Tatizo limeanzia mbali sana... limeanzia kwenye vyakula toka vinaanza kuoteshwa mashambani...
 
Ila life is not fair, wakati wengine wanahangaika kutafuta watoto, wengine wana watupa
 
Visichana vinatoa sana mimba
Ni kweli, ila IPO siku watazikumbuka hizi mimba, kuna dada namfahamu, Alishawahi kuchomoa, SAA hizi yupo kwenye ndoa mimba haziingii. Analala na mahirizi kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…